kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
sasa hizo si ndio mambo za Nairobi buda....au unataka nifanyeje.?...nipindishe ukweli?.Gosh.... hi si poa. Acha hizi.
nairobi ni jiji zuri sawa,ila lina mapungufu yake mengi.moja ya hayo mapungufu ni vitendo vya kihalifu ambayo hutokea kila siku na kila saa.