Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kadoda ungeitwa kidonda. Wewe unashinda tu habari na taarifa za Kenya ilhali hapo Danganyika kuna visa na mikasa zaidi ya hayo. Wala zeruzeru tunawafahamu sana
acha hasira... [emoji23] [emoji23]
 
wameanza kuogopa biashara sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] kumbe tanzania wanaijua vzr sana

hahahaha....na bado[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nataka nikuoe manzi wa nairobi....ili nikulete dar utoke huko kwa washamba .unaonaje....?
Hakuna place ya wajanja Africa kuliko Nairobi, infact madem wa Nai watakuchanua hio ushamba yako ya kitandale hadi ushangae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu angalia sura zao vizurikwa streets uone kama ni za kishamba[emoji23] [emoji23] [emoji23] while their brains run @400kph yako iko 80kph. Alafu unadhani utawezana bro[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Matakeo ni hapa hapa duniani, when the deal is too good think twice, endeleeni kufuga kunguni zikijazana matokeo yatajitokeza wazi mpende msipende!
 
kwa hiyo unataka kusema we ndo umemuajiri Kenyatta??
huwezi kuwa timamu wewe...
 
You guys are still living in a dictatorial world[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I mean how in the world does a president (Magu) Match to launch a plane! And make the issue a public rally? How? Those are things not even done by a governor in Kenya! Only the companies CEO & few stuff, you guys need to style up bana
 
Tofauti ya ke na TZ ni nn me naona kote ni maajabu tu ,nakumbuka uhuru alienda zindua daraja ili litumike kesho yake likavunjika...sasa ww unacheka jpm kuzindua ndege lakin unajisahaulisha madudu yenu,nyani hawezi kuona kundu lake kamwe[emoji23]
 
Nitolee uchafu
....
 
Hii thread inafurahisha sana, sasa ianakuaje watu wanaanza kuleta picha za madem wa Nairobi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ