Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asante magu kazi tu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Yapaswa wakenya wajue kuwa Tz ni hatari na hutengeneza vitu kwa mikakati kulingana na mahitaji na siyo kutengeneza ilinradi yaani unatengeneza flyover porini mfano pale lamu wakati sehemu husika haina hata hayo mahitaji ni matumizi mabovu ya pesa
 
Ulitaka tumtaje uhuru....wacha jazba zakuchikoraa magufuli ni raisi wetu na tutamtaja mpaka mioyo uwapasuke
 
nakukumbusha tu najua umesahau[emoji23][emoji116][emoji116]

dar ina watu million 5 na city area ni 1600km sq

nairobi ina watu 4.5million na city area 696km sq
Ushamba na ujinga utakua kisa cha kifo chako. Sasa unafikiria hao watu umetaja wanafungiwa katika the confines of that 696kmsq? Unafikiria Nairobi ni zizi? [emoji23][emoji23][emoji23]

Nairobi METRO is bigger than your dar. Know the word.

METROPOLITAN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…