Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa
tapatalk_1533761151273.jpeg
tapatalk_1533760799867.jpeg
tapatalk_1533759485714.jpeg
 
Uhuru anakwenda US, JPM anamaliza game ya SGR akiwa Palace huku akiwatonesha na the longest pipeline in the world from Hoima to Tanga.

Magu kiboko yao babekiiiiiii.

VIVA JPM
VIVA TANZANIA.
magu kiboko ya wakenya yani hawana raha jamaa kawabana kila kona 😂😂😂
 
I wonder mutatoa fedha ya kuijenga wapi...ama ni loan mutapewa kisha mutudanganye ati pesa cash...your punching above your weight as an ldc country..watch this space
Povu ruksaaaaaa alafu jamaa wanasema Kuna viproject vya umeme btn TZ & Ug afu ianze mara moja dadeq mtatuelewa tu mbona.
 
I wonder mutatoa fedha ya kuijenga wapi...ama ni loan mutapewa kisha mutudanganye ati pesa cash...your punching above your weight as an ldc country..watch this space
kwani fedha ya kujenga modern electric bullet train in africa tumetoa wapi???😂😂😂
pesa ya kununua 7 new brand aircrafts cash deal tumetoa wapi???
pesa ya kujenga biggest dam in east africa 2b usd tumetoa wapi????
 
kwani fedha ya kujenga modern electric bullet train in africa tumetoa wapi???
pesa ya kununua 7 new brand aircrafts cash deal tumetoa wapi???
pesa ya kujenga biggest dam in east africa 2b usd tumetoa wapi????
CCM ilikopa chini ya maji., hiyo ilisha dhihirika wazi!!., your GDP output can't even finance the recurrent expenditures ya nchi., narudia kusema, mnabebwa ujinga na serikali, yani bado unakurupuka??? govt waliwadanganya eti unemployment ni 2%, wewe na kichwa empty na blind patriotism mentality ukakimbia kupost., IMF/World Bank wakawaanika wazi wazi!., Tanzania ya vi-wonder kweli!!., Dar city ni Ulaya ya EAC Kweli., sasa mie nakubali your posts, I am your fan, keep on entertaining us.
 
I wonder mutatoa fedha ya kuijenga wapi...ama ni loan mutapewa kisha mutudanganye ati pesa cash...your punching above your weight as an ldc country..watch this space
endelea ku-wonder hivo hivo sisi twasonga mbele.
 
CCM ilikopa chini ya maji., hiyo ilisha dhihirika wazi!!., your GDP output can't even finance the recurrent expenditures ya nchi., narudia kusema, mnabebwa ujinga na serikali, yani bado unakurupuka??? govt waliwadanganya eti unemployment ni 2%, wewe na kichwa empty na blind patriotism mentality ukakimbia kupost., IMF/World Bank wakawaanika wazi wazi!., Tanzania ya vi-wonder kweli!!., Dar city ni Ulaya ya EAC Kweli., sasa mie nakubali your posts, I am your fan, keep on entertaining us.
bado unalia na CCM 😂😂😂👆👆👆
tanzania inakunyima raha kabisa vile nyie jubilee tano tena haiwatii ujinga
ujinga iliowatia jubilee moja wapo ni hii😂😂😂👇👇👇👇kutamani vya watu mkiwauliza kwann tuna GDP kubwa😝😝😝 sasa kama muna GDP kubwa kwann hamuna ajira 40%
watakwambia nchi yetu jangwa👇👇👇
tano tena
7865DCCC-3BC7-4A34-BDF4-9A6C303DAB25.jpeg
20AAFDE7-1842-4333-9168-9908FB471579.jpeg
 
CCM ilikopa chini ya maji., hiyo ilisha dhihirika wazi!!., your GDP output can't even finance the recurrent expenditures ya nchi., narudia kusema, mnabebwa ujinga na serikali, yani bado unakurupuka??? govt waliwadanganya eti unemployment ni 2%, wewe na kichwa empty na blind patriotism mentality ukakimbia kupost., IMF/World Bank wakawaanika wazi wazi!., Tanzania ya vi-wonder kweli!!., Dar city ni Ulaya ya EAC Kweli., sasa mie nakubali your posts, I am your fan, keep on entertaining us.
kitu hua unanifurahisha ni vile machozi yakikutoka juu ya CCM 😂😂😂
 
bado unalia na CCM
tanzania inakunyima raha kabisa vile nyie jubilee tano tena haiwatii ujinga
ujinga iliowatia jubilee moja wapo ni hiikutamani vya watu mkiwauliza kwann tuna GDP kubwa sasa kama muna GDP kubwa kwann hamuna ajira 40%
watakwambia nchi yetu jangwa
tano tena
View attachment 831025View attachment 831026
Mbona mna 32% masikini wa kutupwa na 2% unemployment?., Dar ni Ulaya, hapo tumamaliza.
 
Back
Top Bottom