Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuwa mpole ,,,polisi hupelekwa wenye makosa /hatia hivyo ukiona mkenya tumemsweka rumande ujue ni mhalifu....
 
twitter hakuna ujinga kama unavofkiri kwenye akili yako huko wako watu wenye akili zao na uzuri wa twitter ukitoa habari ya uongo wanaiblock😂😂😂😂😂

Tihahahhaaaaa. ... Sasa ona wewe na ushamba wako wote. Leo nimekudharau sana
 
You forgetting Westlands.
Wetlands is the second CBD, though am seeing upper hill taking that spot by 2022, it will be ahead of westy ina grow at a faster rate and it will swallow Kilimani coz it's heading those ends, westlands will rule the skies of Nairobi for like two years having this global trade centre leading the park[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Morning guys,kwa taarifa za kuaminika TZ tuna 300MW ambazo hatuzitumii zipo tu zinaelea elea ,wale watoka mapovu izo pekee hazitoshi kuendesha reli??
 
Morning guys,kwa taarifa za kuaminika TZ tuna 300MW ambazo hatuzitumii zipo tu zinaelea elea ,wale watoka mapovu izo pekee hazitoshi kuendesha reli??[/QUOTE
Kwani hii nje yenu ya 58million people mnatumia just 1400mw....
Endelea kufuata uonge ya CCM.
 
Hizi nyumba ndio za kuamkia na kulalia sikuhz
 
Morning guys,kwa taarifa za kuaminika TZ tuna 300MW ambazo hatuzitumii zipo tu zinaelea elea ,wale watoka mapovu izo pekee hazitoshi kuendesha reli??

Kweli akili zenu zimejaa guano. Hivi mna 300MW na day in day out generators zinanguruma tu Dangangiza
 
Kweli akili zenu zimejaa guano. Hivi mna 300MW na day in day out generators zinanguruma tu Dangangiza
Wewe akili yako ipo kwenye Chang'aa muda mwingi, tatizo la kukatika kwa umeme ni tatizo la electric connectivity sio production, demand kwa sasa ni 1300MW, wakati production ni 1560MW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…