Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwanini mukasirike wakat mzungu anakuja kushangaaa kuona vile binaadamu anaishi kwenye maisha hata nguruwe hawes kuishi

ukianza kumhoji mkenya swali moja baada ya jingine kuhusu haya mambo,utashangaa kapotea kiaina.

kwamba yale mambweni yafikie laki saba,hii haiwezekani,na wakati ndio makazi yenye watu wengi zaidi.
 
ukianza kumhoji mkenya swali moja baada ya jingine kuhusu haya mambo,utashangaa kapotea kiaina.

kwamba yale mambweni yafikie laki saba,hii haiwezekani,na wakati ndio makazi yenye watu wengi zaidi.
wakenya wengi hawana ndoto ya kujenga wala kumiliki ardhi kwasababu ardhi nyingi imechukulia na watu wachache sana sasa wao huridhika kuishi kwenye maisha ya slums na kama anajimudu kidogo atasogea kwenye bedsitter kamaliza lakini ndoto ya kumiliki kiwanja pamoja nyumba haipo kwenye akili zaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

wewe unaeza amini kenyatta anamiliki ardhi ya kuweka wakenya million 20
 
ukianza kumhoji mkenya swali moja baada ya jingine kuhusu haya mambo,utashangaa kapotea kiaina.

kwamba yale mambweni yafikie laki saba,hii haiwezekani,na wakati ndio makazi yenye watu wengi zaidi.
Kweli maandazi sana hawa wakenya..
............tutaijenga hii hoja ,,
 
ukianza kumhoji mkenya swali moja baada ya jingine kuhusu haya mambo,utashangaa kapotea kiaina.

kwamba yale mambweni yafikie laki saba,hii haiwezekani,na wakati ndio makazi yenye watu wengi zaidi.
kuna siku moja nilikua mombasa mwenyej wangu akanionesha nyumba ya kenyatta iko maeneo ya nyali aisee kiwanja ni kikubwa vibaya mno kimezungushiwa wall
 
Kweli maandazi sana hawa wakenya..
............tutaijenga hii hoja ,,
unajua baada ya wao kujikuta wameangukia kwenye shimo la slums sasa wanataka kulazmisha na sisi tufanane nao ili tusiwe na hoja ya kusemaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
twitter my friend hioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

kumbe ni Twitter... ... Tihahahhaaaaa. Leo nimecheka yangu yote. Si utapasuka msamba jirani. I told you hakuna thibitisho hapo.
 
Just realised tanzanians dont know how to debate...you give them facts wanasidestep...ukionyesha mtanzania paka atapiga kabisa then aseme ni mbwa...ni akili hawana na reasoning poor sana
 
kuna siku moja nilikua mombasa mwenyej wangu akanionesha nyumba ya kenyatta iko maeneo ya nyali aisee kiwanja ni kikubwa vibaya mno kimezungushiwa wall

Wewe hujawahi fuga border. Acha kudanganya watu wazima mdogo
 
kumbe ni Twitter... ... Tihahahhaaaaa. Leo nimecheka yangu yote. Si utapasuka msamba jirani. I told you hakuna thibitisho hapo.
twitter hakuna ujinga kama unavofkiri kwenye akili yako huko wako watu wenye akili zao na uzuri wa twitter ukitoa habari ya uongo wanaiblockπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Just realised tanzanians dont know how to debate...you give them facts wanasidestep...ukionyesha mtanzania paka atapiga kabisa then aseme ni mbwa...ni akili hawana na reasoning poor sana
ukija na facts njoo na source tatizo lako wewe unamuona mzungu mjinga sana google earth aeke slums za nairobi alaf asieke slum in darπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

google earth haidanganyi my friend na wewe neno slum linakupa shida sana kujua maana yake
 
[emoji23] [emoji23] yani ni kenya pekee umefika...woi..ndo maana uko na kiburi. ..kuwa mpole kaka...tembea nchi zingine...enda southafrica ujione mambo...nenda abuja...then compare what you have back home. You will never be more dissapointed...
hio nimekuonesha pages za kenya tu hapo sijakuonesha zingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…