Nina account kule, sionagi cha maana, majamaa yanajadili ukabila Massa yote. Useless Kunyans.Kuna mpuuzi mmoja kule JamiiForums.com
akanijia juu eti niondoke kwenye Forum yao!!
Nika mwbia hiki kiforums uchwara huwa napita kucheki leo Ukabila wenu unahusu nini!!
Kutwa ukabila
kiforum kimelala kama kimepigwa kaputi!!
Nikienda wazua ndio yaleyale
leo ni aibu ya kufa mtu apasuper power is bigger and powerful than kenya police and kdf.shame
slums are not safe .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116][emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
we umeanza kuboesha sasa. Kambalanick amekunyorosha mpaka basi. unalialia tu ati "tulia tulia". kaa vizuri upate a taste of your own medicine na uwache kutapatapaNimekwambia tulieni niendelee mbona waoga sana nyie hahahaahhahahah dahhhhh mwaka mbaya huuuuu
mwanza yenye haina ata building moja above 20....Anzisha thread mbona we muoga Nimekwambia Mombasa ntakupa mwanza alaf kisumu utachagua mwengine nikupe ipi kati ya zanzibar.tanga.arusha au mbeya hahhahaahhaha
Jinga wewe hazifiki kumi nimekupa 7 eleven kahesabu tower ngapi hapo hehehe he unaruka ruka tu tulia hapa utanyooka tu vzr hesab hzotutakuruhusu uendelee ukituhesabia izo ongoing projects above 20 floors umeeka apa.tuambie ni ngapi....hazifiki ata kumi
hahahahaha... we mtu unadharau sana aisee..dah..eti kiforum.Kuna mpuuzi mmoja kule JamiiForums.com
akanijia juu eti niondoke kwenye Forum yao!!
Nika mwbia hiki kiforums uchwara huwa napita kucheki leo Ukabila wenu unahusu nini!!
Kutwa ukabila
kiforum kimelala kama kimepigwa kaputi!!
Nikienda wazua ndio yaleyale
hahaaaa....leo kazi ipo apawe umeanza kuboesha sasa. Kambalanick amekunyorosha mpaka basi. unalialia tu ati "tulia tulia". kaa vizuri upate a taste of your own medicine na uwache kutapatapa
usitoke nje ya mada. tuko Jf. kama unatufukuza tutoke Jf, kuja unikatie wifi yanguNina account kule, sionagi cha maana, majamaa yanajadili ukabila Massa yote. Useless Kunyans.
Twende kazi mbona muoga wewe hahahahahah uko tayarI tunaingia mzigoni mkatudanganye muna bridge kama mwenzako jana hahhahahahhahahahmwanza yenye haina ata building moja above 20....
hivi kwa akili yako unaona twenty floors apo...ebu hesabu utuambie ni ngapiJinga wewe hazifiki kumi nimekupa 7 eleven kahesabu tower ngapi hapo hehehe he unaruka ruka tu tulia hapa utanyooka tu vzr hesab hzo
View attachment 493322
Ulicho kiandika hiki hapahauelewi Kiswahili. soma nilichokiandika alafu urudi unijibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]leo ni aibu ya kufa mtu apa
Unaogopa enhhh au huamini hahhahahhahahhahahahahha leo munanifurahisha sana hahhahahhahahhahahahahha bongooòooo hatarihivi kwa akili yako unaona twenty floors apo...ebu hesabu utuambie ni ngapi
kwanza tuambie jina tucomfirm wenyewe...naona umeanza kucook data apa.ati 20 floors..ata mtoto wachekechea anajua kuhesabuJinga wewe hazifiki kumi nimekupa 7 eleven kahesabu tower ngapi hapo hehehe he unaruka ruka tu tulia hapa utanyooka tu vzr hesab hzo
View attachment 493322
acha tumalize ubishi mwanzo apa....Unaogopa enhhh au huamini hahhahahhahahhahahahahha leo munanifurahisha sana hahhahahhahahhahahahahha bongooòooo hatari
Toka tu, kwani umeitwa huku?usitoke nje ya mada. tuko Jf. kama unatufukuza tutoke Jf, kuja unikatie wifi yangu
hahaaa....leo hutoki humu.nmekwambia tumekushika pabaya.20 floors ziko wapi apo.mmetaka wenyewe above 20 ongoing,hamkujua mnajipalia makaa?Unaogopa enhhh au huamini hahhahahhahahhahahahahha leo munanifurahisha sana hahhahahhahahhahahahahha bongooòooo hatari
Nimekuuliza huamini au hahahahahah umeona rahaaa mm sibishani na wewe Google unayo choma ndani hehehehhehkwanza tuambie jina tucomfirm wenyewe...naona umeanza kucook data apa.ati 20 floors..ata mtoto wachekechea anajua kuhesabu