Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It means there is no URBAN PLANNING in your town. Acha POROJO. Penda kuelimika
urban planning my ass, nimeshakuonyesha juhudi zinazofanyika katika hiyo district, we ndio uende darasani
 
thanks google earth πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
jungle of slums in the world

chan’gaa sio chai😝😝😝😝
 
Dar population is 5.29M
Population living in shanty houses is 70% of 5.29M
That is equivalent to 70%Γ—5.29=3703000
Meaning 3.7M people are staying in informal houses πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunajua kwenu hizo slum zenu mnaziita suburbs ndio maana mpo LDC...MASIKINI WA KUTUPWA.
halafu unajua nyie wakenya kuna kitu kimoja hamjui kuhusu hizo suburbs mnaita slums. Unlike your city that has poor people jammed in their places in our city japo si sehemu zote unakuta hapa kuna mjengo mkalI ila opposite to it ni nyumba ya masikini. aerial views zisiwadanganye.
 
wakishindwa hua wanakimbilia kwenye GDP[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na huu mwaka kila wanapogusa ni pamoto
Na inabainika wazi GDP yetu hatari sana mpende msipende

2018 GDP:

Nairobi- 56B USD
Tanzania -55B USD
 
kuna picha ya kwanza na mbili za mwisho ukiniletea ushahidi kua hapo ni dar nafunga account jamii forum[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Tizama video acha presha

 
mm nimekwambia siku ukileta ushahidi kua hapo ni dar nafunga account jamii forum [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Tizama hii video polepole tena kwa kina. Presha isikuue
 
NDIZO HIZO SUBURBS ZENU.
Kenya, Eastlands suburbs...Angalia tofauti

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…