Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Yaani hawa wakenya waliopo hapa wengi wao kwenye ubongo kumejaa vumbi.....wacha waendelee kudharaurikaNimejaribu kupitia kwenye mitandao ya kijamii mingi. Ukikutana na mkenya hawezi kutete points zake.
Akibanwa maswali tu anaanza kutukana au kuanza kuweka picha za project zinazotarajiwa kufanyika Nairobi.
Kule Nairaland wanadharaulika sana. Wakiulizwa maswali ili watu wapate kujua zaidi wanaanza kutukana na kuonesha vitu vya ajabu ajabu nje ya mada.
Wote wapo hivyo.
Ulichisema ni kweli kabisa na isitoshe wakitaka kubishana na watz wajipange wasikurupuke maana hawatuwezi
