Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So between both countries:

1.NBO

2.DAR
3.MOMBASA
4.KISUMU
5.ARUSHA/MWANZA
6.NAKURU
7.ELDORET
8.MWANZA/ARUSHA

I would rank top cities this way.
Tumia akili kubwa bro wacha kutumia akili ndogo .....
 
kwanza rekesbisha kauli kenya inakua kwa 4.4% na tanzania inakua kwa 7.2% usichanganyikiwe kwanza nimekuomba official source sasa nashangaa unaniletea maelezo na porojo za vijiweni

ndugu yangu economy ya arusha hakuna mji wowote outside nairobi na monbasa unaeza kabiliana nayo
Punguza porojo ichoboy...while our econonmy of roughly 80b growing at a rate of 6 %...mutafikia kweli league
Screenshot_2018-08-05-13-10-08~2.jpg
 
Unapinga nini kwenye hiyo list?
JIBU MASWALI YAFUATAYO
Sehemu.A. 5%

Aliyefanya hiyo takwimu ni nani anaishi wapi,anajishughulisha na nini,alisoma shule gani,ana level gani ya elimu,?..
Je ni mlevi wa pombe ama mvuta bangi na unga au anatumia vyote vyote..?,na yupo kwenye taasisi gani..,ni mwizi au chokoraa. ?..

Je ni jobless?..
 
LUNATIC hujielewi. Kunywa uji urudi kitandani
 
LUNATIC hujielewi. Kunywa uji urudi kitandani
Kijana tunakuuliza maswali kuwa hiyo list umeitoa wapi unaendelea kupiga porojo. JF siyo kundi la wavuta bangi. Kwahiyo kama umevuta musuba kidogo subiri utoke kichwani kisha uje.
 
Hamuwezani na KENYA.

Mpishane na Rwanda pamoja na Burundi
Kenya tunapishana na Kina Egypt, Nigeria, SA na Ethiopia
 
LUNATIC hujielewi. Kunywa uji urudi kitandani
Ushafeli 0%

Rudi shule kidogo kama kitabu hakipandi kuwa watch man ili ujikimu kimaisha humu hakukufai....

Nenda kwenye uzi wakupeana like ama usiku wa manane nahisi kule ndiyo level yako utawakuta
 
Kijana tunakuuliza maswali kuwa hiyo list umeitoa wapi unaendelea kupiga porojo. JF siyo kundi la wavuta bangi. Kwahiyo kama umevuta musuba kidogo subiri utoke kichwani kisha uje.
Huyo jamaa ni ndimu sana aisee
 
Huyo kijana ni mtoto sana. Bado hata kufikiria hajajifunza
Hawajui tushawasoma..you can tell alot by how he argues..is he humble..is he truthful...is it a sober argument but lusematic amefeli hayo yote...watoi wa jf
 
Huyo jamaa ni ndimu sana aisee
Nimejaribu kupitia kwenye mitandao ya kijamii mingi. Ukikutana na mkenya hawezi kutete points zake.
Akibanwa maswali tu anaanza kutukana au kuanza kuweka picha za project zinazotarajiwa kufanyika Nairobi.
Kule Nairaland wanadharaulika sana. Wakiulizwa maswali ili watu wapate kujua zaidi wanaanza kutukana na kuonesha vitu vya ajabu ajabu nje ya mada.

Wote wapo hivyo.
 
Huyo kijana ni mtoto sana. Bado hata kufikiria hajajifunza
Unaulizwa simple qns baada ya kujibu kwa kutetea hoja yako kwa kuthibitisha uma unabaki kutoa speechless kama mtoto wa kindagaten

Jitazame
IMG_20180804_005021.jpg
 
Hawajui tushawasoma..you can tell alot by how he argues..is he humble..is he truthful...is it a sober argument but lusematic amefeli hayo yote...watoi wa jf
Are you crazy!!! stop disgrace yourself. We need facts rather than porojo mnazoziweka hapa.
Ukiweka facts sisi tutakubaliana. But ukilieta porojo you will see us bitter
 
Are you crazy!!! stop disgrace yourself. We need facts rather than porojo mnazoziweka hapa.
Ukiweka facts sisi tutakubaliana. But ukilieta porojo you will see us bitter
Between kenyans and tanzanians..nani anapenda porojo ...you base most of your arguments on rumours and us on facts ..like vile mulisema ati ndege mulinunua ati cash only....wapi hyo paperwork to prove ama nikufuata Pombe akiwapaka mafuta
 
Back
Top Bottom