Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kishan tower bongo
B877BE66-E1BE-467F-A913-DB9FF5E14E0B_zpsoacqobwy.jpg
9747CFA0-B620-4998-B148-5DC6C573B519_zpsxwiovdfd.jpg
4F65F0EF-CBB1-4543-B2A8-FDB570A58EE6_zpszljq4wu6.jpg
 
mbona mnalia na Kambalanick ??? on going projects bado hamfiki Konza Techno City. Wakati nynyi saa ii mumeamka, sisi tumekuwa macho miaka zaidi ya miaka 50. Wakati Tz inashindana na Nairobi, Nairobi inawatoka Africa nzima. Wallahi nitavunja chupa nijichinje na kigai Africa nzima ikijenga jumba zaidi ya 300m pahali popote. na kwa bongolala, nitajikata hichi kidole naandikia nacho hapa mukijenga jengo zaidi ya 200m
 
Wekeni sasa mbona waoga hahahahahah sana tumewatuhusu changanyanyeni Mombasa na kisumu pia
 
Back
Top Bottom