Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aisee tukio la watanzania kusimamisha nchi kuenda kulaki ndege limeniacha hoi!

sipati picha vile watu wazima na akili zao na ndevu zao wameacha kazi zao na majukumu yao na kuenda airport kuilaki ndege bila soni bila haya as if it was the second coming of the messiah!!!

sitaki kuamini kama kweli Kenya tuko kwenye sayari moja na hawa mabumbumbu kutoka tanzania. wanazingua ajabu. aliyewaroga katupa funguo baharini na kutokomea.

i don't wanna live on this planet anymore.
kwasababu imenunuliwa cash ndege saba nioneshe link yoyote kua kq imewahi kununua ndege cash nasubiri
 
Unaonngea as if Tanzania is 100% Special na niko sure tukianza kuwafwatilia you guys are even worse than any country in Africa ju how comes kenya iko na shida miaka nenda miaka rudi and still investers flock our country from all over the globe...sio India,Cuba,Sudan,Somalia,USA,England,China,Japan,Korea,etc..... and to make the matters worse for you guys is that the more mnatuombea mabaya the more tunapata favour kwa mungu & that explains why Kenya's GDP has never gone negative even in the worst of situations! Ona juzi Nairobi imekuwa selected to host the Under 20 World Championship yet wanajua vizuri sana Kenya ni play ground ya terrorists na kuna Tz (peaceful nation) just next to us but they still stick with us[emoji1] [emoji1] [emoji1] China too neglected all the African Nations just to set up its HQ in Nairobi, UN too....I mean if Kenya by chance gets a chance to have a peaceful decade like 2010 when our growth rate hit 8.0...from 0.5 in 3 years then will be 1000 years ahead of any African country...but still kenya will always have a brighter future despite its short comings.
you see how stupid you are unajiskiaje ukiskia mulikua na growing economy of 7% alaf leo hii munakua na 4.4%???😂😂

ndio hvo munaendelea??? yani kila sector kenya imekufa hakuna sector hata moja inayofanya vzr alaf munategemea kufanya vzr

tanzania kila mwaka inapanda kwenye growing economy percentage lakin tumekaa kimya hatuongei hapa

tatizo lenu nyie linalowatia umaskini zaidi ni kujifananisha na nchi zilizoendelea hapo tu ndipo munapokosea munasahau kua munachangamoto mbaya zaidi hata kuliko burundi

nchi yoyote inayoendelea duniani lazima ihakikishe chakula kwa wananchi wake chakutosha lazima ihakikishe mwananchi anamiliki ardhi ili kupunguza ukali wa maisha lazima ihakikishe ajira kwa wananchi wake sio nyie munaongoza africa kua na uneployment rate kubwa

ikiwa kenyatta pekee anamiliki ardhi ya ku settle 20million kenyans hapo sijazungumzia settlers wazungu unafkiri utakua na ndoto ya kumiliki ardhi
 
Last edited:
ujue hata mimi nilishangaa sana wachina 5000?..sasa ina maana kuna wakenya wachache wanafanya kazi kwa low wages,na wachina walivyo bahili mshahara wao kwa vibarua hauzidi ksh 200/=
hey middle income you let us down... huko UoN huwa mnaenda kusomea kiingereza na akina homo sapiens ..
hawa watu wana maisha ya ajabu sana ndio maana leo usishangae mzungu kuja kutalii nairobi kuangalia vile binaadamu wanaishi kama nguruwe kibera, ww angalia hata kwenye airlines ethiopia imeajiri raia wake zaidi ya 35000 wakat kq imeajiri wakenya na wasiozidi 3000, leo nashangaa kuskia SGR imeajiri wakenya hawazidi 800 wakat wachina wameajiriwa 5000 na wachina ndio wanaokula mshahara mkubwa mara mbili mpaka tatu ya hao wakenya😂😂😂😂
 
Unaonngea as if Tanzania is 100% Special na niko sure tukianza kuwafwatilia you guys are even worse than any country in Africa ju how comes kenya iko na shida miaka nenda miaka rudi and still investers flock our country from all over the globe...sio India,Cuba,Sudan,Somalia,USA,England,China,Japan,Korea,etc..... and to make the matters worse for you guys is that the more mnatuombea mabaya the more tunapata favour kwa mungu & that explains why Kenya's GDP has never gone negative even in the worst of situations! Ona juzi Nairobi imekuwa selected to host the Under 20 World Championship yet wanajua vizuri sana Kenya ni play ground ya terrorists na kuna Tz (peaceful nation) just next to us but they still stick with us[emoji1] [emoji1] [emoji1] China too neglected all the African Nations just to set up its HQ in Nairobi, UN too....I mean if Kenya by chance gets a chance to have a peaceful decade like 2010 when our growth rate hit 8.0...from 0.5 in 3 years then will be 1000 years ahead of any African country...but still kenya will always have a brighter future despite its short comings.
Mtajaribu kutuangusha Lakini wapi! Mtazidi kubaki nyuma miaka nenda miaka rudi hadi yesu arudi
punguza emotions kijana.
 
Mshaanza visingizio,sisi hatujawatuma misiwe na amani hiko cha kwanza, cha pili ni hq gani unaiongelea you mean avic au?
cha tatu of course mmetuzid kwenye mashindano ya mbio mlitaka cc tuhost badala yenu next year tutahost AFCON u20 mbn nyie hamjachaguliwa mu host c mmetuzid kila kitu shida an ilitokea?😳😀😀😀....last time mlishindwa kuhost chan,,GDP ya kenya ni kubwa simply bcoz u have many industiries ila twende PPP tumewapita kma sio tuko swa HDI mmetuacha vipoint vichache sana ...yan kenya mnapenda muonekane superior kumbe hamna kitu
Sisi ndio Kusema Brathe upende usipende we will always be ahead of you & thats why ksh1= Tsh.22....[emoji848][emoji848][emoji848] How? Ita because we lead & you follow!
 
Magufuli alienda shule kweli??? Sasa aty kama hufrahii utajuta(Dictatorship), maybe hio ndio inawafanya mtetee inchi yenyu labda aliwaambia mwenye atakosa nikunyongwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Screenshot_20180709-230646.jpg
 
If don't see your backward steps go see a doctor. What is the Different between ur SGR and our TAZARA!? We built it in 70s. 😀😀😀
haha whats Tazara is it an SGR?...give us the speed?....our railway has already transported over 1 million passengers btw Nai and mmsa....now your first phase to moro wont get a traffic of even 200000
 
😀😀 Answer my question! We built TAZARA in 70s so what the different btn ur SGR and TAZARA!? Is
 
Unaonngea as if Tanzania is 100% Special na niko sure tukianza kuwafwatilia you guys are even worse than any country in Africa ju how comes kenya iko na shida miaka nenda miaka rudi and still investers flock our country from all over the globe...sio India,Cuba,Sudan,Somalia,USA,England,China,Japan,Korea,etc..... and to make the matters worse for you guys is that the more mnatuombea mabaya the more tunapata favour kwa mungu & that explains why Kenya's GDP has never gone negative even in the worst of situations! Ona juzi Nairobi imekuwa selected to host the Under 20 World Championship yet wanajua vizuri sana Kenya ni play ground ya terrorists na kuna Tz (peaceful nation) just next to us but they still stick with us[emoji1] [emoji1] [emoji1] China too neglected all the African Nations just to set up its HQ in Nairobi, UN too....I mean if Kenya by chance gets a chance to have a peaceful decade like 2010 when our growth rate hit 8.0...from 0.5 in 3 years then will be 1000 years ahead of any African country...but still kenya will always have a brighter future despite its short comings.
Pooovu..[emoji134] [emoji134]
 
Ujinga yao ni kudhani Kenya imesimama juu hatutangazi projects vile president wao hutangaza kila kitu akifanya
sio imesimama inazidi kudidimia kila sector😂😂😂😂 utalii mushakwisha tayari
 
Last edited:
Back
Top Bottom