u even dont know what youre posting MFwacha hasira sasa![]()
u even dont know what youre posting MFwacha hasira sasa![]()
English ya kutoka Tanzania?????english huelew au???
😂😂😂😂 sasa hasira za nn???u even dont know what youre posting MF
unamvumilia nani?? sio nyie watumwa wa lugha za watu??? munaabudu lugha ya mzunguEnglish ya kutoka Tanzania?????
Wacha ikae maana huwa ni majanga na vituko. Sema huwa tunawavumilia tu.
i need a physchiatristsasa hasira za nn???
hebu andika sentensi moja ya Kiingereza nichekeunamvumilia nani?? sio nyie watumwa wa lugha za watu??? munaabudu lugha ya mzungu
Kama unafaidisha jumuiya inayokuzunguka sawa lakin kama uko home na vyeti kazi huna unakua proud na nn?sasa unaenda UoN kusoma vitu vya kijinga afu uwe proud bado...huo muda bora ungeanzisha banda la mpesaIf you studied in UON you should be proud
nijibu basi hasira za nn sasa😂😂i need a physchiatrist
ni lugha yangu ya tatu na sina shobo nayo unafkiri watanzania wanaakili za kijinga kama nyie za kuramba matako mzunguhebu andika sentensi moja ya Kiingereza nicheke
40% unemployment rate in kenya hebu angalia foreigners hao waliokua wanafanya kazi bila permit achilia mbali wenye permit na waeke mbali 5000 chinnese workers kwenye SGRKama unafaidisha jumuiya inayokuzunguka sawa lakin kama uko home na vyeti kazi huna unakua proud na nn?sasa unaenda UoN kusoma vitu vya kijinga afu uwe proud bado...huo muda bora ungeanzisha banda la mpesa
Hahaa.. Ride and slap! Njaa mbaya sanakali ya mwaka
Niliona mkenya ana degree ya electrical eng amekaa na bango anaomba kazi kwenye Ile park yenye free Wi-Fi nilimuonea huruma kiasi,yani mtu amepambana na akina kirchoff ,avogadros, Newton hadi amemaliza chuo na bado michongo Hamna40% unemployment rate in kenya hebu angalia foreigners hao waliokua wanafanya kazi bila permit achilia mbali wenye permit na waeke mbali 5000 chinnese workers kwenye SGR
First congratulations to all Kenyans for Nairobi University being ranked the fifth among many Universities in Africa.
no need, it will be a big shame for us to put our mighty serengeti in the same competition with a tiny masai mara.Go ahead
KabisaMasai Mara is very very small. Don't try to compare with Serengeti unless you are stupid
Utauwa mtu msamehe huyo chokoraa wakikenyaserengeti national park is 14,750 km square while masai mara is 1,510 km square.
pls acheni kufananisha serengeti na upuuzi.ukubwa wa serengeti national park ni zaidi ya ukubwa wa county za kenya.
hapo bado sijazungumzia scenery nzuri za kutazama wanyama.
bado sijazungumzia aina mbalimbali za viumbe wanaopatikana ndani yake ambao huwezi kuwapata masai mara au sehemu yoyote duniani.
Huyo ana degree ya urembo..Kama unafaidisha jumuiya inayokuzunguka sawa lakin kama uko home na vyeti kazi huna unakua proud na nn?sasa unaenda UoN kusoma vitu vya kijinga afu uwe proud bado...huo muda bora ungeanzisha banda la mpesa
Ni noma wanatia huruma wakenya40% unemployment rate in kenya hebu angalia foreigners hao waliokua wanafanya kazi bila permit achilia mbali wenye permit na waeke mbali 5000 chinnese workers kwenye SGR