Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hawa watu wana maisha ya ajabu sana ndio maana leo usishangae mzungu kuja kutalii nairobi kuangalia vile binaadamu wanaishi kama nguruwe kibera, ww angalia hata kwenye airlines ethiopia imeajiri raia wake zaidi ya 35000 wakat kq imeajiri wakenya na wasiozidi 3000, leo nashangaa kuskia SGR imeajiri wakenya hawazidi 800 wakat wachina wameajiriwa 5000 na wachina ndio wanaokula mshahara mkubwa mara mbili mpaka tatu ya hao wakenya
Wanatusikitisha....sana hawa majirani.

Ila usishangae hapa akatokea chokoraa mmoja wakikenya akakusmbia kama wamefanya hivyo sababu yakuingiza foreign income
 
haha whats Tazara is it an SGR?...give us the speed?....our railway has already transported over 1 million passengers btw Nai and mmsa....now your first phase to moro wont get a traffic of even 200000
with loss of 10b ksh😂😂😂😂 and 5000 chinnese workers
 
CRDB Bank HQ


IMG_2385.JPG
 
Punguzeni idle talk on what you have no idea of...your busy criticising and and hating yet you guys have nothing yet..do yal honestly think we in the same modern era cos last time i checked you were on our tails
IMG_20180730_113322.jpg
IMG_20180730_113102.jpg
IMG_20180730_112954.jpg
IMG_20180730_113317.jpg
 
Back
Top Bottom