Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

honeymoon ndani ya serengeti.
IMG_20180729_151322.jpg
 
hatari sana....tupo katika sonic speed.
Last week nilikuwa Dodoma. Aise huwezi kuamini speed ni kubwa sana. Ujenzi wa Stendi ya kimataifa imeanza. Vilevile unjezi wa uwanja mkubwa wa michezo unaendelea. Yaani ni hatari sana. Ukiwa unaingia Dodoma maeneo ya nane nane upande wa kushoto utaona maendeleo ya ujenzi wa stendi kubwa na soko kubwa la kimataifa. Vilevile ukiwa unakaribia nane nane upande wa kulia utaona hatua za ujenzi wa kiwanja kikubwa cha michezo.
Next week nikiwa Dodoma nikipata nafasi nitapiga picha.
 
Masai Mara is very very small. Don't try to compare with Serengeti unless you are stupid
You are the most stupid being here. We weren't talking about size of the park kijana, tulikuwa tunaongelea the pic. Kadoda said we will not find such a picture anywhere in the world and I have replied with the photo of wildebeest n Maasai mara. We ni mjinga sana.
 
youll get that in maasai mara
serengeti national park is 14,750 km square while masai mara is 1,510 km square.

pls acheni kufananisha serengeti na upuuzi.ukubwa wa serengeti national park ni zaidi ya ukubwa wa county za kenya.

hapo bado sijazungumzia scenery nzuri za kutazama wanyama.

bado sijazungumzia aina mbalimbali za viumbe wanaopatikana ndani yake ambao huwezi kuwapata masai mara au sehemu yoyote duniani.
 
Acha kubadilisha topic 😂😂😂😂👇👇👇
IMG_20180730_194714_961.jpg
 
You are the most stupid being here. We weren't talking about size of the park kijana, tulikuwa tunaongelea the pic. Kadoda said we will not find such a picture anywhere in the world and I have replied with the photo of wildebeest n Maasai mara. We ni mjinga sana.
😀😀 Do you want to compare Serengeti with Masai Mara!? Are you crazy!!!?
Masai Mara is over populated, no one want to visit it. If you real listen yourself you can't compare uchafu wa masai mara na Serengeti, unless you are stupid.
 
Back
Top Bottom