Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cheki waTz...kenya imedevelop sana..ukija Nakuru utadhani bado uko Nairobi.yani vile imedevelop utadhani ni Dar.......mji wa naks umeshinda moshi na tanga..kubali hayo
 
Moshi again😀😀😀
DSC_3782.jpg
23457774.jpg
the-end-in-moshi-railway.jpg
 
Leo nimesahau kusoma, mwenye anajua kusoma anisomee hii hapa 😀😀😀
Screenshot_20180718-220630.png
 
Upande wa utalii Moshi kumbuka ndio mt Kilimanjaro ilipo mpaka apo huna points tena
Upande wa hospital nadhan unafaham kua kcmc ni moja ya hospital kubwa sana nje ya Dar yenye uwezo wa bed 600 ni ya 3 baada ya bugando , ni teaching hospital iko na tumaini university ndani yake!!
Tukija kwenye schools hapo ndio usiguse kabisa Moshi ndio wilaya yenye shule nyingi za sekondari Tanzania, universities
Ni kama ifuataavyo
1.Moshi university
2.Mwenge university
3.Stefano memorial university
4.Tumaini university
Colleges
1.Mweka college of wildlife
2.kcmc college of health and allied science
........
Barabara Moshi kwa ujumla wake iko na barabara standard zaidi sababu ya utalii hivyo barabara zake nyingi ni kiwango cha lami
View attachment 812774
Uknown Crap infact when it Comes to Education hata usijaribu my friend....we have the Lord Egerton University,Kabarak University, Kenyatta University Campus,Mt kenya University Campus,KITY Collage,Kenya Teachers College,KDF Millitary School & Barracks,etc...interms of high Schools (National schools) I think unajidanganya buda...there is The Moi Forces Girls Academy,Nakuru High,Shinners Boys/Girls,Kabarack High,Jomo Kenyatta high....yani they are too many not to mention private schools,Roads mnajua automatically ni Nakuru,Utalii infact nakuru is allover...i mean...Lake nakuru National park,Hells gate,Menengai,Rift valley,Elementaita..etc.... Hospitals Surely...hapo hamuonekani...nakuru has too many Hospitals to mention here likes of Nairobi women hsp,Rift valley hsp,etc... Shopping Malls in Nakuru are ahead of Moshi which apparently has none infact famous Shopping malls in kenya all began in Nakuru as Supermarkets e.g Nakumatt,Naivas,Tuskeys,Gillanis........and While you are still dreaming, Moshi has no theater while Nakuru Has and yet you still compare the two I really pity you guys...[emoji1] [emoji1] [emoji19] [emoji19]
Kabarak-Univerity-2018-admission-dates-and-kuccps-admission-letters-for-first-years.jpg
Daniel-T-Arap-Moi-Library-8.jpg
Screen-Shot-2015-09-18-at-7.35.33-PM.jpg
egerton_university.jpg
16265177_617217041814051_1247571729107501928_n.jpg
bd3346ba561b5b55180dd1441a09d1ee_L.jpg
aliance.jpg
FILE-1515924345.jpg
The-Old-Railway-Tracks-in-Moshi-800x600.jpg
642412.jpg
1359288235.jpg
The-view-of-Mt-Kili-from-Newlands-School-450x600.jpg
moshi-tanzania-kilimanjaro-view.jpg
1221637_orig.jpg
Screenshot_20180718-211809.jpg
 
Uknown Crap infact when it Comes to Education hata usijaribu my friend....we have the Lord Egerton University,Kabarak University, Kenyatta University Campus,Mt kenya University Campus,KITY Collage,Kenya Teachers College,KDF Millitary School & Barracks,etc...interms of high Schools (National schools) I think unajidanganya buda...there is The Moi Forces Girls Academy,Nakuru High,Shinners Boys/Girls,Kabarack High,Jomo Kenyatta high....yani they are too many not to mention private schools,Roads mnajua automatically ni Nakuru,Utalii infact nakuru is allover...i mean...Lake nakuru National park,Hells gate,Menengai,Rift valley,Elementaita..etc.... Hospitals Surely...hapo hamuonekani...nakuru has too many Hospitals to mention here likes of Nairobi women hsp,Rift valley hsp,etc... Shopping Malls in Nakuru are ahead of Moshi which apparently has none infact famous Shopping malls in kenya all began in Nakuru as Supermarkets e.g Nakumatt,Naivas,Tuskeys,Gillanis........and While you are still dreaming, Moshi has no theater while Nakuru Has and yet you still compare the two I really pity you guys...[emoji1] [emoji1] [emoji19] [emoji19] View attachment 812816View attachment 812817View attachment 812818View attachment 812819View attachment 812820View attachment 812821View attachment 812822View attachment 812823View attachment 812824View attachment 812825View attachment 812826View attachment 812827View attachment 812828View attachment 812830View attachment 812829
We jamaa unasummarize vp kirahisi ivyo[emoji23] [emoji23]
Subiri nikupe dose hadi ukimbie
 
GDP ya $80bl ambayo ni current price haina mahusiano ya moja kwa moja na deni la $22.2bln but nachoona apo kwa akili yangu ndogo ni kwamba Ilo deni laweza lipwa taratibu kulingana na makubaliano ya kila mkopo husika...mathalani next yr mwaweza kua na GDP ya $90bln> na mkopo mkaongeza as long as mapato yanazidi kukua. ..
Ila kama ikitokea uchumi umedorora itawaaffect kwasababu mtaogopa kuongeza deni...
You are the only sane Tanzanian in this forum...debating with an open mind without being blinded by stupid patriotusm...and am surprised ichoboy can't do simple arithmetic
 
You are the only sane Tanzanian in this forum...debating with an open mind without being blinded by stupid patriotusm...and am surprised ichoboy can't do simple arithmetic
mwenzako kashaelewa kosa lake heheheh ndio maana umemuona kimya hajarudi tena😀😀😀😀
 
yaani ukiwasikiliza wabongo wanavyo-table issues zao, utadhani ni mijitu mizubezube sijui zoba au zombies kind of. low i.q kind of people with no tangible points. wapo wapo tu kuzindikisha dunia! 😀

Big up Nairobi! Hats off. Africa's Most Intelligent city.
africa's most intelligent city with the biggest slums in the world..!!ooh my GOD,it sounds good..!!
 
Back
Top Bottom