ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ukhaukaha leo umedhihirisha hasira zako 😀😀Afadhali kuliko hiyo Kabul yenu mnaita Ati jiji...... Surely you Danganyikans. Kazi yenu ni kuzaana tu na kujazana Darislum
ukhaukaha leo umedhihirisha hasira zako 😀😀Afadhali kuliko hiyo Kabul yenu mnaita Ati jiji...... Surely you Danganyikans. Kazi yenu ni kuzaana tu na kujazana Darislum
below poverty line hio nimekupaHaya umepeana theory, kuja ground you see. 2.7% unemployment rate cannot have 19 million people on extreme poverty, ama wanatoa huduma bure kwa nchi? hapa nitaelewa. The functioning of GOK services speaks a lot. I know Tanzania, raiya masginani wanalalamika sana kwa hali duni., si makosa mko ldc., inabainika wazi. Kenya ina many limitations and setbacks, but stop forcing your Tanzanian erroneous mentality about Kenya to be gospel truth., cherry picking news and isolated pictures out of context to prove a point. Your debate mechanism is unethical and subjective. Blind patriotism.
hio CCM unayoichukia ww ndio wachina wanaiheshimu kwa heshma zote, chuki zitakuuwa😀😀😀Haya umepeana theory, kuja ground you see. 2.7% unemployment rate cannot have 19 million people on extreme poverty, ama wanatoa huduma bure kwa nchi? hapa nitaelewa. The functioning of GOK services speaks a lot. I know Tanzania, raiya masginani wanalalamika sana kwa hali duni., si makosa mko ldc., inabainika wazi. Kenya ina many limitations and setbacks, but stop forcing your Tanzanian erroneous mentality about Kenya to be gospel truth., cherry picking news and isolated pictures out of context to prove a point. Your debate mechanism is unethical and subjective. Blind patriotism.
wenye hasira na CCM😀😀😀😀😀Haya umepeana theory, kuja ground you see. 2.7% unemployment rate cannot have 19 million people on extreme poverty, ama wanatoa huduma bure kwa nchi? hapa nitaelewa. The functioning of GOK services speaks a lot. I know Tanzania, raiya masginani wanalalamika sana kwa hali duni., si makosa mko ldc., inabainika wazi. Kenya ina many limitations and setbacks, but stop forcing your Tanzanian erroneous mentality about Kenya to be gospel truth., cherry picking news and isolated pictures out of context to prove a point. Your debate mechanism is unethical and subjective. Blind patriotism.
China is after their own interests, haijali ni nani anatawala, they have a 'non-interference' policy on matters internal politics.hio CCM unayoichukia ww ndio wachina wanaiheshimu kwa heshma zote, chuki zitakuuwa😀😀😀
uhahahha kasome history of ccm and china ndio utajua nazungumza nn 😀😀😀😀😀 CCM itadumu mpaka yesu ashuke utake usitake nyie pambaneni na kenyatta alieshika robo ya ardhi yote kenya nzima akisema ni yakeChina is after their own interests, haijali ni nani anatawala, they have a 'non-interference' policy on matters internal politics.
I don't hate CCM per se, wako na mazuri and African pride, kulingana na historia, shida ni wale walio katika serikali kwa sasa wanakandamiza raiya na kunyamazisha divergent views. That has a negative impact on development in a long-term basis.
Haijalishi, ni raiya wataamua.uhahahha kasome history of ccm and china ndio utajua nazungumza nn 😀😀😀😀😀 CCM itaduku mpaka yesu ashuke utake usitake nyie pambaneni na kenyatta alieshika robo ya ardhi yote kenya nzima akisema ni yake
ukifanya fujo lazima upate tabu sana ukivunja sheria kibano kiko palepale 😀😀😀😀Dictator magufuli na ccm itawamalizaView attachment 810574
amua ww mkenya hehehe 😀😀😀😀Haijalishi, ni raiya wataamua.
inaelekea wewe ni jobless 100%....[emoji3]Smart my foot.... Get a life
ajira aitoe wapi ikiwa Sgr imeajiri 5000 chinnese hehehe yani hawa jamaa wanachekesha sana😀😀😀inaelekea wewe ni jobless 100%....[emoji3]
ni balaa sana hawa manyang'autatizo lako ww liko kwa CCM 😀😀😀😀 unanichekesha sana
tanzania inakua kwa 7.2%
kenya inakua kwa 4.4% tena hapo economy mumeipika mpaka imeungua alaf leo munachekelea debt to GDP ratio kufika 60% na kuna mmoja wa uchumi wenu alisema kenya inakopa pesa for consumption and not development yani leo serekali ya kenya haina hata senti ya kujenga barabara zaidi ya kukopa pesa kwa mchina hehhehe leo nimestaajabu kuskia SGR imeajiri wachina 5000 hao wakenya wako wapi???😀😀😀 alaf munajinafi munao wasomi hehehhe
mm hua munanishangaza sana naposkia kenya unemployment rate is 40% 😱😱😱
wazee wa tano tena😛😛
yani wanaskitisha sana hawa jamaa 😀😀ni balaa sana hawa manyang'au
Ndio maana nakueleza wacha kuamini porojo. In Kenya the tribe yenye wamesambaa Kenya yote kwa ajili hawana mashamba kwao ni wakikuyu., akifa anazikwa kwa municipal cemetery ya mji anakoishi. This is the reason wako industrious na wakakamavu kwa biashara kwa sababu anajua nyumbani hana chake, lazima atie bidii kufa kupona, hii ndio sababu yq wao kujituma ni kama wasomali wa Kenya, North eastern ni desert, na walitengwa na serikali kwa muda mrefu, but wenye wamesambaa katika miji mbali mbali wako poa biashara, wanajituma kinyama! necessity is the mother of invention. Na pia kuna other few squatters. All other tribes have ancestral land, watu huenda mjini kutafuta, wengine wanaishi kwa slums in order to save and develop nyumbani., Not all slum dwellers are poor, haujaelewa Kenya kabisa!, what you have is internet news, which you quote out of context and without understanding. Hakuna mjaluo wa Kibera hana kwao nyumbani. Wakikuyu tu na watu wachache wa pwani.amua ww mkenya hehehe 😀😀😀😀
acheni kenyatta aitawale kenya na mutabaki vinana hamuna ajira wala ndoto ya kua na ardhi mpaka yesu ashuke
View attachment 810578