Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

To Top it UP We set the pace[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 812230
huyo ni mkenya mwenzenu nimeona video zake nyingi tu hehehhehe na kama unabisha sema nikuletee ushahidiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
HOSPITALI YA KISASA YA KISUMU, HAHAHAHA mbavu zangu mim!
hehehhe jana nimecheka sana kuna mpuuzi mmoja alizungumza sana kumbe anachokizungumza ni nonsense tupu hajui kama population is one of the main factor yeye alijua ni mall na flyover basi kamaliza hajui kuna health issue ni kitu muhimu hajui kuna industries, πŸ˜€πŸ˜€
 
Propaganda za CCM mliotiwa vichwani na Nyerere miaka za kale hazijawatoka akili hadi leo! Licha ya hayo yote, mbona jko na uchumi kubwa kuwaliko?
 
Propaganda za CCM mliotiwa vichwani na Nyerere miaka za kale hazijawatoka akili hadi leo! Licha ya hayo yote, mbona jko na uchumi kubwa kuwaliko?
hehhe sasa umehamisha hasira kwa CCM heheh
wasikilize namibia hao wakizungumzia CCM

 
wasikilize namibia hao πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Aah wewe huwezi kanieleza chochote. Mmekaliwa. Niliskia alisema ataongoza milele? [emoji23][emoji23]

Basi your fate as Tanzania is sealed. You will never be a progressive society. Mtakua kama Cameroon na president Biya
 
Hao wanaoishi slums wakija TZ automatically wanaingia kikundi cha middle class [emoji23]
na ndo maana mnalilia EAC ifungue mipaka muwe mnakuja bongo free!!!ndio,maisha ya tz ni mazuri sana,huwezi kukuta mtu anaishi kwenye mabanda,hayo mabanda huku tunafugia nguruwe by the way,amini nakwambia hata wewe ukiamua kutoka hapo kayole slums na kuja huku bongo,maisha yako yatabadilika!!lakini ukiendelea kusota hapo nairobi,u won't taste how a good life is,utaishi kwa shida hadi yesu arudi,Nairobi ina wenyewe...!not inclusive at all,what a fucking city!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivyo ndivio mnajidanganya nyinyi...woi mnashida nyinyi Kenya hakuna Ujamaa buda kile mtu kivyake kenya yetu wote
a single person owns a land that could be enough for a quarter population of whole country..!!arable land owned by white settlers,then,they grows the flowers,meanwhile the northern Kenyans die hungry..
 
imgine anaona fahari kuishi kibera na anatambaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.muangalie sana hawa watu mnaobishana nao humu.
 
Wewe ni Ngombe ya wapi sasa? Karudi zizini!

Maisha yatakuaje matamu kwenu? Nakuambia wale wanaoishi slums zetu wakija TZ automatically wanaingia kikundi cha middle class ndugu.

Kisha nenda kadanganye watoto wajinga wenzako eti kwenu Hakuna vibanda. Ukitaka picha sema na utapewa. Shoga wewe
 
Aah wewe huwezi kanieleza chochote. Mmekaliwa. Niliskia alisema ataongoza milele? [emoji23][emoji23]

Basi your fate as Tanzania is sealed. You will never be a progressive society. Mtakua kama Cameroon na president Biya
ni lini alisema atatawala milele wewe kunguru.embu kasikilize ukiwa umekula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…