Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

very small town withh full of taxi baiskli yani mjia ambao nikifika hua naskitika sana kisumu bado sana mukaze kamba kweli kweli 😀😀😀😀 mwenzako alikuja kichwa kichwa mbele ya arusha alibakia kupost picha za ile jengo la maseno hehehhe
 
haipendezi mwanaume kujiuliza mwanaume mwenzako anafanya kazi gani 24hrs,kwani kenya huko kazi ni kubeba magunia ya viazi pekee???hakuna kazi za kukaa na kumonitor auto mashine may be!!!!
bundle la kutosha kwa siku tz ni zaidi 250ksh,hatuna WIFI za bure huku kama huko kwenu,kwa akili yako unadhani una cha kumshauli mtu mwenye uwezo huo!!!!!
hehhehe wana hulka za kike hawa 😀😀😱
 
mji ni watu sio ndoto zako zozote unazofikiria.
unabishana na huyo mjinga sana yeye hudhani kua city ni kupanga matofali na magunia viazi hajiulizi bila watu kuongezeka na developments zinaongeza yeye hua anaota developments zinakuja kabla ya watu😀😀
 
hehehhe kuiba pesa bank ni kama kukojoa kwa mlevi kenya😀😀😀😀😀

 
uhahhaha hua munanifurahisha developed of what?? mm nakwambia kisumu haina hadhi ya kuitwa city huo ndio ukwli utake usitake yani kazeni kamba bado sana yani kisumu naeza kuipa moshi tu na kamasi ikamtoka dont take everything easy kama ww ulifkiro hii ni ile tz ya 90s basi umechelewa sana😀😀😀😀
Haya basi nioneshe Barabara kama hii mwanza...alafu tuone nani falaView attachment 811382
DiHzcexXcAEmGRQ.jpg
 
very small town withh full of taxi baiskli yani mjia ambao nikifika hua naskitika sana kisumu bado sana mukaze kamba kweli kweli 😀😀😀😀 mwenzako alikuja kichwa kichwa mbele ya arusha alibakia kupost picha za ile jengo la maseno hehehhe
we Umefika kisumu gani You have never even traveled outside Danganyika na unaropokwa hapa....infact DID YOU KNOW BLACKPANTHER WAS LAUNCHED IN KISUMU CITY??...Wacha hata new york ama Nairobi...in kisumu!!..the city of Wakanda...I mean how Can you compare it with Mwanza
Black-Panther-Kisumu-Premiere-1-850x457.jpg
450C3400-28A3-4478-A85C-7A92212FCBE1_w408_r1_s.jpg
0fgjhs4phothi9ksk.r320x180.f0980ba9.jpg
LUPITA3.jpg
lupita_korea.jpg
10610201_vVAKkrehpmTQeBN9ep82ntcFbvcMPTSWeVWQOhhplN0.jpg
a07bf8c9-7ab9-44b8-bec5-38a0d2f08810-1.jpg
 

Attachments

  • 375853_qcXNFV5EN-gUXG0AfJxRlIYBDE848XoPEeZu-mx7spU.jpg
    375853_qcXNFV5EN-gUXG0AfJxRlIYBDE848XoPEeZu-mx7spU.jpg
    22.2 KB · Views: 16
niambie nisehemu gani hapo kisumu tafadhali
😀😀😀😀😀😀😀 leo nataka twende mguu upande
Nyamasaria bypass my frend...kisumu is my home town city usidhani utanifunza bro... day & night...and if not enough bado kuna Kondele hapo chini...next question...
DiHmRqoWsAA-mJI.jpg
Kondele-light-sreak-image-650x300.jpg
 
Back
Top Bottom