Usiabike...ni kwenyuhehhehe mukaze kamba kweli kweliπππ
picha moja imebeba nairobi nzima hii picha moja haijamaliza kariakoo hata nusu
View attachment 810912
Usiabike...ni kwenyuView attachment 810915
tano tena watu wa kiberaππππ
hehhehe mukaze kamba kweli kweliπππ
picha moja imebeba nairobi nzima hii picha moja haijamaliza kariakoo hata nusu
View attachment 810912
manzese hii hapaπππIchoboy mbona haupost picha za mbagala,tabata,magomeni na manzese...ama una aibu
si bora hio unatuonesha picha ya garage ona hii bus stage nairobiπππππ
part of magomeni darπππIchoboy mbona haupost picha za mbagala,tabata,magomeni na manzese...ama una aibu
plz nioneshe kariobangi, makuru kayaba, kisumu ndogo, mathare etc usiogope aibu siktakuchekaIchoboy mbona haupost picha za mbagala,tabata,magomeni na manzese...ama una aibu
Slums ni slums, have seen pia za Joburg!, balaa vinoma! pia in the US sikujua wako na mabanda!! saw pictures in quora discussions., someone had asked kama imeshuka from devt to developing economy..,
Kiukwel Nairobi iliongoza kwa kipindi chake ila kwa sasa mmh tafadhalin kubalin tu kua sasa Daresalaam sio ligi yenu asee. Najua ukwel mchungu ila hatuna budi kuwapungia mikono ya kwaheriiiiiii. Bravo My Country Tanzania.hehhehe dar inawahenyesha usiku na mchanaπ
View attachment 810900 View attachment 810901 View attachment 810902 View attachment 810903 View attachment 810904 View attachment 810905 View attachment 810906 View attachment 810907 View attachment 810908
Kiukwel Nairobi iliongoza kwa kipindi chake ila kwa sasa mmh tafadhalin kubalin tu kua sasa Daresalaam sio ligi yenu asee. Najua ukwel mchungu ila hatuna budi kuwapungia mikono ya kwaheriiiiiii. Bravo My Country Tanzania.
Huo ni wetu bratha nyinyi endeleeni kufuatana na Magufuli kuona ndege moja[emoji23] [emoji23] [emoji23]obama nae anajuaπππ