Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
wabaki na upuuzi waoajira aitoe wapi ikiwa Sgr imeajiri 5000 chinnese hehehe yani hawa jamaa wanachekesha sana😀😀😀
wabaki na upuuzi waoajira aitoe wapi ikiwa Sgr imeajiri 5000 chinnese hehehe yani hawa jamaa wanachekesha sana😀😀😀
uhahhaha nonsense ever heheh yani maneno mengi sana kumbe kichwani umejaza ubuyu😀😀😀😀Ndio maana nakueleza wacha kuamini porojo. In Kenya the tribe yenye wamesambaa Kenya yote kwa ajili hawana mashamba kwao ni wakikuyu., akifa anazikwa kwa municipal cemetery ya mji anakoishi. This is the reason wako industrious na wakakamavu kwa biashara kwa sababu anajua nyumbani hana chake, lazima atie bidii kufa kupona, hii ndio sababu yq wao kujituma ni kama wasomali wa Kenya, North eastern ni desert, na walitengwa na serikali kwa muda mrefu, but wenye wamesambaa katika miji mbali mbali wako poa biashara, wanajituma kinyama! necessity is the mother of invention. Na pia kuna other few squatters. All other tribes have ancestral land, watu huenda mjini kutafuta, wengine wanaishi kwa slums in order to save and develop nyumbani., Not all slum dwellers are poor, haujaelewa Kenya kabisa!, what you have is internet news, which you quote out of context and without understanding. Hakuna mjaluo wa Kibera hana kwao nyumbani. Wakikuyu tu na watu wachache wa pwani.
magufuli chuma kiboko ya wakenya 😀😀😀 kawashkisha adabu mpaka sasa hamuna amani
The funny thing is wakenya wote wamefika darIf yourv trully beem to kenyan....youl notice the difference of a City from a town....Kisumu is large..with a far much stronger economy...someone who has travelled will not shy away from saying the truth..av been to Abuja and Dar .i must admit Abuja is much modern city than Nairobi hands down but dar hapana...as you slowly drive away from the crammed cbd by the shoreline...the rest becomea 3rd world...so stop living in an illusion na utravel unless your those broke tanzanians with inflated egos

Buda iyo nyumba ni kaliii kigae tu icho kinakuzuzua
Nonsense kivipi? wewe hauwezi kubali ukweli kuhusu Kenya., lako ni kufikiria Kenya watu wanaumia, propaganda za CCM toka nyakati za Nyerere, wakijibizana na Jomo Kenyatta., watanzania wamefanywa kuamini wakenya ni wabaya, wajanja na raiya hawana mashamba!!uhahhaha nonsense ever heheh yani maneno mengi sana kumbe kichwani umejaza ubuyu😀😀😀😀
so ww pia unajiita mtanzania 😛
pole sana!, mkenya akienda Tanzania shughuli za kibinafsi raiya wa kawaida na pia polisi wanamshuku sana, wengi hunyanyaswa sana!, my cousin aliwekwa kizimbani, polish walimshika kwa atm akitoa pesa wakamsingizia alitaka kuiba benki!!, ni Raila Odinga alipiga simu kijana na rafikiye akaachiliwa, the father was an mp kwa party ya Raila (ODM)., mtanzania alitembea Kenya ama kuishi hakuna mtu huwa na shughuli naye., ata kama ako na kibali ama hana, he can't be bothered. Nyie you have a wrong and misconstrued perception ya Kenya kabisaa!., Your government's inability to perform and serve its people inafunika uchi through propaganda and controlled media, na kuonyesha Kenya iko na shida hata kuliko Tanzania ili kupumbaza raiya. Hao ni ambao wanajua kusoma na kuhesabu...utastaajabu usidhan ni waliofika university! !Ata nishajua whats the problem...hawa watu hawana kitu kwa bongo.....all they do is praise daimond na wanaume kupenda udaku....nawahurumia akiView attachment 810559
Festo ulienda shule!!China is after their own interests, haijali ni nani anatawala, they have a 'non-interference' policy on matters internal politics.
I don't hate CCM per se, wako na mazuri and African pride, kulingana na historia, shida ni wale walio katika serikali kwa sasa wanakandamiza raiya na kunyamazisha divergent views. That has a negative impact on development in a long-term basis.
tuusan, noFesto ulienda shule!!
Uko na sawa
The funny thing is wakenya wote wamefika dar![]()
![]()
ahahahah chuki zako dhidi ya CCM hazitakusaidia wala hazitabadilisha tabia ya nchi CCM itakuwepo na itatawala utake usitake upende usipende maana huna maelezo yoyote yenye maana zaidi ya chuki zako binafsi dhidi ya CCM😀😀😀Nonsense kivipi? wewe hauwezi kubali ukweli kuhusu Kenya., lako ni kufikiria Kenya watu wanaumia, propaganda za CCM toka nyakati za Nyerere, wakijibizana na Jomo Kenyatta., watanzania wamefanywa kuamini wakenya ni wabaya, wajanja na raiya hawana mashamba!!![]()
![]()
pole sana!, mkenya akienda Tanzania shughuli za kibinafsi raiya wa kawaida na pia polisi wanamshuku sana, wengi hunyanyaswa sana!, my cousin aliwekwa kizimbani, polish walimshika kwa atm akitoa pesa wakamsingizia alitaka kuiba benki!!, ni Raila Odinga alipiga simu kijana na rafikiye akaachiliwa, the father was an mp kwa party ya Raila (ODM)., mtanzania alitembea Kenya ama kuishi hakuna mtu huwa na shughuli naye., ata kama ako na kibali ama hana, he can't be bothered. Nyie you have a wrong and misconstrued perception ya Kenya kabisaa!., Your government's inability to perform and serve its people inafunika uchi through propaganda and controlled media, na kuonyesha Kenya iko na shida hata kuliko Tanzania ili kupumbaza raiya.
Mko na tabu sana, ldc, extreme poverty, na bado hatujaongeza the relative poor populace!.,
Kwa hapo lazima iwaume, kumbuka Kuna yule maasai alinuia kumuoa bintiye Obama nadhani hapendagi ujinga asee. Sasa kaamua kwenda mwenyewe.yani obama pia kuleta familia yake tanzania na sio kenya pia imeleta balaa😀😀😀 roho zinawatoka
Nikipanga kuja kenya siwez enda mombasa..nataka nije kwenye Ile mgahawa unagirrafe paleinamaana kuna zingine nyingi ila mnazificha. Dar sio lazima ufike kwani si nyie wote mmefika Mombasa....dar vs mombasa
hahhaha yani hawa jamaa nimecheka sana😀😀Kwa hapo lazima iwaume, kumbuka Kuna yule maasai alinuia kumuoa bintiye Obama nadhani hapendagi ujinga asee. Sasa kaamua kwenda mwenyewe.
Tanzanians' mentality on Kenya and Kenyans is informed by mere propaganda, including CCM's over the years!. Nahurumia innocent raiya. Very gullible.ahahahah chuki zako dhidi ya CCM hazitakusaidia wala hazitabadilisha tabia ya nchi CCM itakuwepo na itatawala utake usitake upende usipende maana huna maelezo yoyote yenye maana zaidi ya chuki zako binafsi dhidi ya CCM😀😀😀
uhahahhaha leo CCM inakutoa kamasi maana hoja zako zote ni chuki dhidi ya CCM nothing else😀😀😀Tanzanians' mentality on Kenya and Kenyans is informed by mere propaganda, including CCM's over the years!. Nahurumia innocent raiya. Very gullible.
Another upcoming city in Southern Highland [HASHTAG]#TheWarriorCity[/HASHTAG]