Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha tukiwaonyesha 8 lane na 12 lanes wanaanza kupost mapicha ya BRT hahaha
Mwisho ni 8 lanes onesha hio 12 nione nahamu nayo sana hebu onesha hahahhahahha sifa munapenda sana 😀😀😀😀😀😀😀
 
Mombasa is not a city to me unaeza leta mombasa mbele ya dar akili yako timamu nilikwambia kwa dar chukua nairobi chukua mombasa chukua kisumu alaf leta mbele ya dar alaf uone kama utachezesha kidole unafanya mchezo na dar....unaongea kutokana na mawazo yako au????? Kwanza tengenezeni Barbara kutoka lungalunga mpaka mombasa 90 km hheheheh alaf uje hapa tuongee
 
nadhani tulimazana na huu mjadala wa mombasa. tuktuk/bajaji, taxi, saa hii tunatumia Uber,, if you know what it means, 🙂
 
nadhani tulimazana na huu mjadala wa mombasa. tuktuk/bajaji, taxi, saa hii tunatumia Uber,, if you know what it means, 🙂
Kwa kwa kwa urber kwenye tuktuk labda hahahhaahhahaa alaf kisumu uber itakua kwenye baiskeli hahhahahahahah😀😀😀😀😀😀😀
 
Naona huu mwaka kwa wenzetu unaitwa unbelievable year.......hahhahahaa bongo inawakosesha watu usingizi hahahhahaha
 
Mara ngapi uambiwe size doesnt matter? hehe. only two towers in your so-called town na umefura kichwa. fyi, Nairobi kuna towers nyingi sana. nyiiiingi sana ata inahitaji thread yake. In Mombasa Shehena Marina Apartments inakamilika, na Crest Apartments inaendelea. You get the point?
 
Wabongo tuje twitter kufanya nini twitter war itatusaidia nini sisi wabongo? Mkuu watu tunajielewa kuna mambo mengine tafakali kabla ya kusema yaani mtu na akili zako baada ya kuwazia mambo ya maana unawazia twitter war?
sisi jf tunaimiliki kwa 100%....muulize huko twitter anako kuwa proud nako,wao wakenya wamaimiliki kwa asilimia ngapi?.

wakenya ni wajinga wa kiwango cha juu sana.
 
kila mwaka utabaki kuimba huo wimbo wa "huu mwaka" wakati sisi tulitoka huko 20yrs ago
Tumejenga nchi 10 yrs munalia hvi nyie mumejenga nchi 50 yrs na bado mlikuta wakoloni wamejenga Barbara na majengo alaf Leo unashangaaa hahahhahaahha
 
Kwahiyo Dar hakuna hizo Towers!!
Inakamilika!!
Nani haikamiliki?
Mbona tukiwaambia Barabara pekee ndio hoja yenu
nasi zinakamilika
mnaanza kuponda maneno zina,tuta,ita,
hahaha

Fanya hivi
weka jengo kwa jengo
kuanzia 40fl- 10 fl
 
Ndugu yangu hakuna haja yakubishana hapa mombasa kwa dar haiingii hata theluthi imeshindwa kuingia nairobi itakua mombasa hahhahhah nilikwambia chukua mombasa kisum na nairobi munaishia 1196 km sq zote wakat dar alone ina urban city area 1590 km sq hahahhaah kipofu haambiwi kuona mambo yako wazi
 

punguza kutema povu ndg.

tazama hii screenshot.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sasa na wewe hapo mbona unaongelea tower mbili tu/ halafu unaposema tower mbili tu Dar ni zipi hizo mbili tu?
 
Na sasa kina kadoda na icho walitumia lugha mbaya but waezi blockiwa....ata icho amesema said anataka vita zikue Kenya...mko xenophobic mnachukia wakenya sana
Truth must be told mzee lugha yako ina ukakasi sana labda kwa sababu kwenu matusi makali ni kawaida ndio maana hushangai. Kuna wakenya wengi tu humu wako for years na hawajawahi kufungiwa wakina mk.. tunabishana nao humu lakini kwa hoja na sio kwa utumbo uliokuwa unaumwaga na ile ban uliideserve 1000% na nisheshangaa sana wangekuacha.
 
Kwahiyo Dar hakuna hizo Towers!!
Inakamilika!!
Nani haikamiliki?
Mbona tukiwaambia Barabara pekee ndio hoja yenu
nasi zinakamilika
mnaanza kuponda maneno zina,tuta,ita,
hahaha

Fanya hivi
weka jengo kwa jengo
kuanzia 40fl- 10 fl
ati ten floors....ata nyumba za watu kuishi pipeline ni ten floors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…