Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo hapo kenya ni tajiri!? Mbona unajiaibisha!?
View attachment 809297

I wanted you and Ichoboy to know the truth. Ichoboy ana cherry pick habari mbali mbali negatives za Kenya akidhania it is the real representation of the whole, if measured against the positives, haifiki hata 10%.,
Poleni, zughulikia hali yenyu.
 
to know what my friend swali ni dogo sana ujiulize ikiwa unemplyment rate in tanzania is 2.7% and kenya is 40% do u expect below poverty line kenya to be lower than tanzania hehehheh😀😀😀😀 usitumie nguvu kutafakari tumia akili tu

kwanza pamabaneni na unemployment ambayo inaua kizazi cha wakenya kila siku alaf uje tuongee
 
ukweli huu wewe huutaki😀😀😀😀 unataka porojo tu hehehehehhe
View attachment 809305 View attachment 809306
This one was a screwed analysis! which year? naongelea June 2018 report. Mambo yamebadilika, na yanaendelea kibadilika! Tanzania nchi ya watu masikini sana! Imo peupe hata bila report yoyote. Inaonekana ukisafiri toka upande hadi mwingine. Kenya ni lazima utafute umasikini, ipo lakini hauonekani sana kama Tanzania, na Uganda., mahali nimesafiri., na Malawi., kutokea Airport balaa!!
 
kwan mm nakupa report ya lini hehhe 😀😀😀
report niliokupa ni ya 2018
nchi yenyewe inanuka njaa kila kona inflation ndio usiseme alaf munataka shindana na tanzania below poverty line
nimetembea uganda na kenya lakin sijapata ona maisha ya kinyama kama niliokuta watu wakenya wakiishi utasema ni wakimbizi kumbe wako kwenye nchi yao
257EBB0B-5A1A-4D6E-99D8-9B7AF18B4BA6.jpeg
A6142B5E-D19D-43B1-A4B8-557C21CE2D91.jpeg
 
to know what my friend swali ni dogo sana ujiulize ikiwa unemplyment rate in tanzania is 2.7% and kenya is 40% do u expect below poverty line kenya to be lower than tanzania hehehheh😀😀😀😀 usitumie nguvu kutafakari tumia akili tu

kwanza pamabaneni na unemployment ambayo inaua kizazi cha wakenya kila siku alaf uje tuongee
Go back to school you ignorant blind patriot! Unemployment 2.7% of the population!! I know Tanzania better!
Fahamu, in quantifying unemployment, the data hardy captures self employed, na casual labourers., inaangazia wanao lipa ushuhuru, ilhali ni wengi wanakwepa kulipa., hata hivyo with our smaller population than yours tax collected yetu is bigger than your national budget. Hiya employment rate yenyu inakuaje sahihi? PROPAGANDA YA CCM!!! Pole kaka,
 
hehhe sikujua kama leo hii mkenya anaumia kusikia tanzania inajenga modern electric train in africa phase mbili kwa pesa yake 700km 3.16b usd

leo mkenya anaumia kuona gvt of tanzania imenunua ndege 7 brand new cash deal wakat kq imebaki na ndege za ku lease😀😀😀😀
 
Lack of exposure inakusumbua. Tembea uone kijana. Umasikini wa kenya ni wa kutupwa.
Halafu ulivyo mpumbavu unadhani unaongea na watoto hapa!! Leta reference ya utafiti huo. Ukishindwa kuleta basi wewe ni mpumbavu.
vijana wa mbowe hao,wasikusumbue!!
 
Go back to school you ignorant blind patriot! Unemployment 2.7% of the population!! I know Tanzania better!
Fahamu, in quantifying unemployment, the data hardy captures self employed, na casual labourers., inaangazia wanao lipa ushuhuru, ilhali ni wengi wanakwepa kulipa., hata hivyo with our smaller population than yours tax collected yetu is bigger than your national budget. Hiya employment rate yenyu inakuaje sahihi? PROPAGANDA YA CCM!!! Pole kaka,
uhahahhah mm hua siongei porojo hapa ni facts tu😀
kumbe shida kwako ni CCM 😛😛😛😛

Tanzania - unemployment rate 2007-2017 | Statistic

FFB3326B-0FAB-4C0D-B919-FDDA0EEBF598.jpeg
 
Ichoboy you really try to salvage the face of Tanzania. I can also post data inaonyesha Dar maskini ni 90%, which I won't do, because I don't think so, despite the statistics presented. Napenda kuangalia hali ya maisha practically., kutembea, kuhoji na kujionea., Tanzania bado sana!!
Anyway good work with your defence of Tanzania.
usiku mwema.
 
heheh atakaepata bus office lounge kama hii kenya nzima anitag plz😀😀😀😀
E7E7077E-BD1B-4CC1-89AA-B2D8E9C97D32.jpeg
43D97466-681A-4247-B8C3-51BD5258003B.jpeg
 
my friend kisumu haijafkia hadhi ya kuitwa city never ever sijapata kuona any city on planet city taxi ni baiskeli😀😀😀😀😀
So baiskeli ndo inaifanya isiitwe city...You need to go and borrow functioning brain in any nearby school😀😀😀.
 
Back
Top Bottom