waTZ wanakwepa sana hii statistic wananichekesha View attachment 807178
former president of USA and his family in singita sasakwa serengeti for one week 😀😀😀😀Kweli waTz wanachekesha..saa mtali moja akija kwenyu inakuwa breaking news...
alisema anaenda kenya sasa amekuja wiki nzima tanzania na kashukia kilimanjaro airportPresident of USA kijana. Not just mtalii. hahaha na ikumbukwe alisema anakuja kenya.
unapost mpaka picha za nigeria 😀😀😀
Kijana unadili na wasomi acha mchezo
Naomba unielimishe ivi kijitonyama na upanga ni kitu moja. ......juu naona yale majengo yote ya tanhouse,morocco etc
vp mbona moderators hawajatekeleza request yako ya kufuta thread?HAPA FREE COMEDY TUU!




Dar ipo na bahari kijana. Wacha kuweweseka.Modern city of dar. ..over 70% looks worse than kiberaView attachment 807264View attachment 807267