Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kicc ni gofu sasa, a museum, a fort.
Inatakiwa iitwe fort kicc
Mambo za maana ni hizi hapa dar
For now Dar ndio Habari ya MujiniView attachment 804921
Jengo ndio lile pembeni kwwki dar ndio habari
Screenshot_2018-06-25-10-40-48-75.png
 
Ukweli unaujua mnatumia matatu izo buses kama si Za tour basi ni kwa kikundi flan maalumu sidhan kama ni for public transport
And now........
Modern coast # East Africas Ultimate Leader Ventures Mwanza, Kigali, Kampala, & Dar sisi ndio Kusema Buda[emoji106] [emoji106]
buses1.jpg
 
Iyo picha ya kwanza sio Kenya acha ukenge, pili brt inaingiza pesa ndefu kuliko sgr yenu ya mabilioni huoni nyie ni wapuuzi
Saa zingine unaongea ni kaka unatumia mkund*u kufikiria, ebu weka evidence brt imetengeneza pesa kushinda sgr
 
Jengo ndio lile pembeni kwwki dar ndio habariView attachment 805095
Matakataka tu Dar kwani haina city plan? Majengo nikutupwatupwa kila mahali, nani anaweza tamani ku Invest Kwa slum ju ya raised building moja
HEBU kwanza leteni areal view tuone vizuri [emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu tuone mtakua mkipost picha gani...Day in day out Unatupostia building moja hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] are you GUYZ normal
 
Unafikiri GoT kununua ndege7 at once kwa cash ni rahisi eti??
Kenya mko na bajeti kubwa lakini hamuwezi hata kufinence a 10km road, all project in Kenya are Chinese funded, revenues zote huenda kwa familia za Wakikuyu na wakalenjini,
Evidence ama ufunge mkund*u.....
 
Leta
NBO mna brt?Au unaongea tu kama mwanasiasa?Real estate ya Dar thamani yake imewakalisha 7bu Dar kuna majengo mengi sana zaidi yenu...unafaham network ya km zenye lami zinazozunguka Dar ni nyingi kuliko zenu?sasa unageneralize tu kama unasummarize play ukajibu mtihani wa literature
Hayo majengo yebye usema twende moja moja uone nikizaa na wewe, mibongo hamjabo na kuongea ukikua tayari unitag twende kazi
 
Leta
NBO mna brt?Au unaongea tu kama mwanasiasa?Real estate ya Dar thamani yake imewakalisha 7bu Dar kuna majengo mengi sana zaidi yenu...unafaham network ya km zenye lami zinazozunguka Dar ni nyingi kuliko zenu?sasa unageneralize tu kama unasummarize play ukajibu mtihani wa literature
Hayo majengo yenye unasema twende moja moja uone nikizaa na wewe, mibongo hamjambo na kuongea ukikua tayari unitag twende kazi
 
Unafikiri GoT kununua ndege7 at once kwa cash ni rahisi eti??
Kenya mko na bajeti kubwa lakini hamuwezi hata kufinence a 10km road, all project in Kenya are Chinese funded, revenues zote huenda kwa familia za Wakikuyu na wakalenjini,
We jamaa Uko funny sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unalialia hapa Wakikuyu na watu Kama kina Joho wanafinance HARUSI ya Alikiba... Isitoshe... Sonko na Raila ni wakikuyu? Kuna ni Kubwa kaka there are Millionaires in Every County including Turukana bado kuna Hindu & Somali Communities very rich guyz
 
Miezi nane tangu mradi uanze wametengenza Tsh19bln sawa na $8.5Millions
Kwa sasa commuter wanazidi 200,000 on daily bases n buses zimeongezwa lengo kwa awamu ya kwanza ni kuhudumia hadi abiria 400,000.means kwa mwaka ni zaidi ya $17Millions
Nataka nipate kwa upande wa sgr yenu
Screenshot_2018-07-08-14-05-47.jpg
View attachment 805115View attachment 805116
Screenshot_2018-07-08-14-06-33.jpg
 
Back
Top Bottom