Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

PPF TOWER ...
Screenshot_2018-07-06-17-55-26-1.jpg
Screenshot_2018-07-06-17-55-33-1.jpg
Screenshot_2018-07-06-17-55-41-1.jpg
 
What do you mean Dar real estate is ahead of Nairobi? Ahead in terms of what? Again, Dar City is largerthan Nairobi city but Dar Metro is smaller than Nairobi Metro. You need to understand that.

hujui really estate bro hahahaaaa,nilijua hamjui nini mnaongea kuhusu dar.

hapo tunazungumzia thamani ya majengo kwa ujumla wake na idadi,usijihisi umemaliza ukiona hizo flats za kupanga hapo nai ni chache mno.

mind you something dar ni mkoa pekee wenye eneo dogo zaidi tz so metro yake usitegemee itatoka zaidi ya 45km square.
 
Dar real estate is worth $12bln & NBO $9bln
Do you even understand those figures? Can you bring the source? I like how you guys would read a simple article in a newspaper in 2014 and make it your Bible heneforth just because it somehow favors Tanzania. Remember since then Nairobi and Mombasa have ranked among the top cities in the world in real Estate several times but you don't see us making it a big deal. Remember most of the skyscrapers in Tz began construction in 2008 - 2014. Between those years you had a skyscraper boom. Since then Dar is back to its sleepy self while Nairobi's construction is constant so stop using an outdated article for your argument. Right now there are more skyscrapers under construction in Dar and Nairobi and you know well in terms of residential arpartments Dar is no match to Nairobi. So what are you talking about?
 
hujui really estate bro hahahaaaa,nilijua hamjui nini mnaongea kuhusu dar.

hapo tunazungumzia thamani ya majengo kwa ujumla wake na idadi,usijihisi umemaliza ukiona hizo flats za kupanga hapo nai ni chache mno.

mind you something dar ni mkoa pekee wenye eneo dogo zaidi tz so metro yake usitegemee itatoka zaidi ya 45km square.

REALLY Estate ndio nini? Rudi shule ndio uniquote.
 
Do you even understand those figures? Can you bring the source? I like how you guys would read a simple article in a newspaper in 2014 and make it your Bible heneforth just because it somehow favors Tanzania. Remember since then Nairobi and Mombasa have ranked among the top cities in the world in real Estate several times but you don't see us making it a big deal. Remember most of the skyscrapers in Tz began construction in 2008 - 2014. Between those years you had a skyscraper boom. Since then Dar is back to its sleepy self while Nairobi's construction is constant so stop using an outdated article for your argument. Right now there are more skyscrapers under construction in Dar and Nairobi and you know well in terms of residential arpartments Dar is no match to Nairobi. So what are you talking about?
I'm pretty sure that you know Dar real estate is still on fire..N I'm not here to change any facts
 
Hivi kwanini picha ya uwanja wa ndege Nairobi huwa mnaukata kipisi
kaeneo kadogo tu hamuonyeshi jengo zima
Nikasehemu kadogo ndio kana vioo
kila siku ndio huleta picha zake
kwingineko ni Godown hovyo hovyo
 
KITAELEWEKA!!

ADMIN!? Uko wapi? Huu mjadala umefika maoni laki moja na! Nafikiria NBO imejitambulisha na kujiuza. Nafikiria pia umefika wakati waTZ wakubali Hali yao na wajikakamue. UMEFIKA wakati wa kufunga huu mjadala

MOTO umekua moto sana inabidi uzimwe!! [emoji88][emoji88]
Huu mjadala uliukuta na utaucha
huna mamlaka yakumuomba ADMIN aufunge
Upo leo kesho na Kesho kutwa
wengine tutakufa na kuacha ukiendelea
 
Huyo ni mpumbavu
Dawa yake ni ban
Kaja Juzi anatuletea ujinga wake
Aondoke au apite kimya kimya
Huu uzi upo leo kesho mpaka 2050
Anaharaka sana sio mvumilivu btw Kwani hii ni vita kwnn anaogopa[emoji38][emoji38]
 
Nguvu imehamia kwenye miundombinu kwa upande wa gov but mashirika na watu binafsi bado wanaendelea kudondosha mijengo mjini
Ujensi wa nyumba haufai kufanywa na serikali. Sekta ya Miundo mbinu hata Nairobi kunafanyika. Ila one thing hata wewe unajua, leo hii real Estate ya Dar haifikii Nairobi hata kidogo. You were briefly doing better than us at around 2014 when you were at your peak due to the multiple skyscrapers that were popping up in Dar but now, nah.
 
hahaaa pole kwa mawazo kijana,kwani unajua ni crane ngapi ziko hewani now in dar ukilinganisha na hiyo 2014??
 
Sgr iko uc sio will ni kitu kinafanyiwa kazi,Huu mjadala utaishaje bila watz kuona pinnacle tower? Utaishaje bila wakenya kuona treni ya kutumia umeme ndani ya jiji la Dar? Katika thread ambayo ni endelevu hii ni mojawapo...
Kweli I agree then let's wait and see
 
anajikanyaga kanyaga tu......huyo mkenya pori
Unajua the funny thing about that statement of mine is that every Kenyan Understands it but you Illiterate junks just don't get it. It's a pity sijui kiswahili vizuri I could have translated it to you guys but in the mean time..... Kiss my a**
 
ACCEPTANCE huanza hivi.

NOW, pull up your socks and stop sleeping!

Aspire to be a model of Kenya!
Nyinyi naskia hamna ukabila (sijui kama ni kweli). Ila bila Huu ukabila mmefanya nini ya maana? Mmeendelea ama bado mko LDC?

NINI haswa kinaendelea bongolalaland? View attachment 803752
KITAELEWEKA!!
 
Back
Top Bottom