Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahhaahha wanataka shindana na dar
C3D19434-7FAE-40FC-A3AE-9C8C599FCB8D.jpeg
 
kenya nzima ikipata bus stage kama hii munitag hehhehe mpanda over 1800km from dar😀😀😀😀😀😀
F7BE562C-4588-46BC-9D47-1F842215FF70.jpeg
 
UGANDA pia usipochunga wao pia watakuja nunua nchi yenu.

Tahadhari sana

Put some RESPECT on your elders!
We shoga vipi naona umeweka picha ya choko kwenye profile yako[emoji4] [emoji4]
 
Huyo mjinga wa wajinga kweli. Ni vile tu nafurahia sana kumfika kooni. Free comedy!
Alafu skia vijisababu vya ujinga ata sio kila mtu dar anafanya kaxi usiku yaani anataka kusema kila mtu by 6.00 anakua ametonga kwenye office?? Ata somalia pamoja na ugaidi utapata majengo usiku yana watu alafu kuzidisha sana pspf iko na apartments kibao sana lakini giza totoro.
 
KITAELEWEKA!!!

hahahaha hii hapa dar wasiotaka kukubali. Hii hapa kijiji kinachotaka kushindana na JIJI KUU? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Hii hapa ni UCHAWI

TUNAFUNGA huu mjadala once and for all. Dar achaneni washindane na vijiji vingine vya Tanzagiza kama moshi, Arusha na Singida
 
Alafu skia vijisababu vya ujinga ata sio kila mtu dar anafanya kaxi usiku yaani anataka kusema kila mtu by 6.00 anakua ametonga kwenye office?? Ata somalia pamoja na ugaidi utapata majengo usiku yana watu alafu kuzidisha sana pspf iko na apartments kibao sana lakini giza totoro.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] glasi za kufurahisha mTZ na kumfunga macho. Hamna watu! Apartments yaani ata watu wa kuziPurchase waishi hawako? Na vile Kilimani apartments zinaundwa all over na zinakua SOLD OUT ata Kabla construction umalizike!

Levels ndugu! KITAELEWEKA
 
Back
Top Bottom