Povu ikijaa mdomoni waTZ wataanza kuongelea Kibera. [emoji23] [emoji23] [emoji23]tuje kushangaa slums kama wazungu wanavokuja kuona maajabu saba ha dunia yanayopatikana kiberaπππ
khakha leo unakataa kibera hahha the biggest and worse slum in the world πππππPovu ikijaa mdomoni waTZ wataanza kuongelea Kibera. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utaambiwa mara ngapi Kibera ni a very small percentage of Nairobi ndio maana iko congested na ni slum
Tunazo slums nyingi sana Kenya, hautushtui na list utakazo leta budaaaa!
Pambaneni na Hali yenu
Ama mtu afanye translation to kiswahili aelewe. Jamaa akili inaonekana ndogo kuliko sabuni za lodgingwapi wameandika unpaved road ww akili yako iko sawa hapo kuna regional roads, national roads πππ soma maelezo vzr acha hasira kenge wewe
View attachment 802567
angalia year hehehehππππAma mtu afanye translation to kiswahili aelewe. Jamaa akili inaonekana ndogo kuliko za lodging View attachment 802572
ni brain yakiboya sanaKwahyo ukiweza kuziunda ndo lazima uzitumie sio??? Rotten brain kama yako haijawahi tokea.
leo jamaa yako kila akigusa pamotoπππni brain yakiboya sana
Juu Kenya imekua ikilala? My friend Kenya hata kuwe na misukosuko ama shida za serikali jua lazima kuna taratibu. Vitu havisimami. Kenya kuna intellectuals ambao huwa wanaMap out roadpath to the futurena hapo ukumbuke 10yrs of developments yani barabara zimejengwa hatari 175,162km of paved road na bado sijakuekea road zilizo underconstruction sasa hvi hehehππππππ
duuh we kweli ni mkenya sugu............umekomaa hutaki kutoka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuondoka nikienda wapi? Niko hapa na sibanduki ng'o!
Nilikuambia nitakuvumilia mpaka mwisho. Get ready. I'm just warming up
Hatari! Umeme! DANGER!! [emoji88][emoji88]
poverty level kwa kenya kupungua ni ndoto za alinacha......Baas! Hapa sasa ndio uzuri wa Kenya. Tutaziunda kisha tuziuze kwa nchi kama TZ kisha wale walioziunda waboreshe maisha yao na in turn kupunguza further the poverty levels. WaKenya watu hatari sana
Golmahia wanachakaa huku kwenye cecafa......[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ona tz football team luxury busππππ
itawachukua 50yrs kufika hapo
View attachment 802489 View attachment 802490 View attachment 802491 View attachment 802492 View attachment 802493 View attachment 802494 View attachment 802495 View attachment 802496 View attachment 802497 View attachment 802498
Kiswahili lugha yenu lakini kukisoma ngumu kama mawe.khakha leo unakataa kibera hahha the biggest and worse slum in the world πππππ
ukitaka ushahidi sema
Hadi huu mwaka unaisha trunk road ambazo ziko paved ni 12000kmTengenezeni barabara kwanza.
A country twice our size with half the road network. Shame on you.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]munachonga body hahah kila kitu kinatoka nje ππziko kampuni zinachonga body ya mabasi tanzania usifkiri hakuna alaf unaleta hii kituπππ
team haina hata banda la ofisi miaka 50
View attachment 802499
sawa mzee ojwani umeelewekaNdugu za TZ zinafurahia mabasi. BUSES yaani magari! Kwani nyinyi ni watoto? Akili yenu bado haijakua? BUSES?? ambazo zinatoka Kenya!?
MABASI ndio vitu zinazofurahisha Watanzania? WTF? Kama haingekua Ujerumani kushindwa kwenye WW2 nyinyi bado mngekua colonised!
MABASI?
BUSES??
Tulia man tuliza kichwa, kila uchao barabara zinajengwa ,hakuna ofisi Tz inayotegemea mkenya ili ijiendeshe that means Tunajitegemea kama taifa...kama wakenya mnaakili that's okey ningeshtuka ungesema Hamna akili...Kiswahili lugha yenu lakini kukisoma ngumu kama mawe.
SLUMS TUNAZO NYINGI TENA SANA ila hazitudhuru jinsi zinavyodhuru waTZ
FOCUS! Unasema toll road.. Toll road gani kama 92% of the country's road network is UNPAVED and SUSCEPTIBLE TO HEAVY RAINFALL
Usiringie wakenya.. Hizi ni vitu za kawaida ambazo tumekubali na tunasonga mbele na maisha.
WaKenya watu wenye akili. Watu wa kuona mbele. Watu wa ajabu
Eeeeh leo kumoto mkuu. Na badoleo jamaa yako kila akigusa pamotoπππ
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti wakenya wanaishutumu serikali yao kama watu wanaiba .....!!!Hivi haya MABASI wanazozifurahia zinapitia vichakani? Wolololo Itabidi TZ wajikakamue vilivyo Kabla ya kujilinganisha na Kenya ama NBO
WaKenya ni watu wa ajabu. WaKenya ni critical thinkers. WaKenya ni watu ambao wataishtumu serikali yao ata kama wanaiba watengeneze nchi na rasilimali. WaKenya ni watu hatari sana
Ni vizuri kuelimisha watu wenye akili ndogo kupindukia.duuh we kweli ni mkenya sugu............umekomaa hutaki kutoka[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
JF ni ze best for east africa na africa....your welcome again kid
Kama umeelewa ni vizuri. Elimisha jamii yako wapate kujitambua nao pia waelewe.sawa mzee ojwani umeeleweka
chizi huyo naye kajileta huku......huyo mkenya ni kunguni sanawapi wameandika unpaved road ww akili yako iko sawa hapo kuna regional roads, national roads πππ soma maelezo vzr acha hasira kenge wewe
View attachment 802567