Hii thread yote umekua ukijiaibisha na bado unazidi kujiaibisha. Tafadhali watanzania wenye huruma, compassion na of common sense saidieni kijana wenu.iko mbele kwenye slums, corruption, unemployment rate, tribalism, police killing, no security, no water, no foodππππππ
ndio maana nilikwambia ww ni mgeni humu umekuja juzi tu hehehheπππππ walikuwepo wenzako kama ww na wakakumbia humuππHii thread yote umekua ukijiaibisha na bado unazidi kujiaibisha. Tafadhali watanzania wenye huruma, compassion na of common sense saidieni kijana wenu.
Na unadhani sijui? Hujui mtu anaweza kuitizama JF bila ya kua na account? JF waKenya wengi sana huja kuwahurumia na kupitisha wakati my fren. Juzi juzi tu nikaamua nifungue account ili nikusambazie akili mkuu, why? Huwezi post unless wewe ni member. So ukisema mimi ni mgeni ooh sijui nini.. Bossss! Hainidhuru ata kidogo.ndio maana nilikwambia ww ni mgeni humu umekuja juzi tu hehehheπππππ walikuwepo wenzako kama ww na wakakumbia humuππ
Wewe inakaa unatoka kwenye mashimo na Vichaka za Tanzania. Nitakusihi ufanye research on whatever you are talking about... Or better yet, just cross over the border and travel around Kenya. Not even Nairobi, just travel around Kenya. Ati uchumi umeshikiliwa na wazungu.. Wazungu gani? Toka vichakani (naona uko na internet) google about Kenya alafu ukuje hapa tujadiliane. Sio kuropokwa tu juu uko na simu na internet.acha kujidanganya, tatizo la wakenya hawajielewi, wanaona sifa kusindikiza wachache wenye kenya yao (watawala-kikuyu and their allies, uchumi-owned by wites na wakenya wachache walio madarakani approx. 10, ardhi yenye rutuba- wanasiasa wakubwa hasa familia ya kenyatta na their allies), wakenya wengine mmebaki mkitanga tanga kama kuku
karibu sana uwanja wa jamii forum ila tu usije kimbia humu tafadhaliππππππNa unadhani sijui? Hujui mtu anaweza kuitizama JF bila ya kua na account? JF waKenya wengi sana huja kuwahurumia na kupitisha wakati my fren. Juzi juzi tu nikaamua nifungue account ili nikusambazie akili mkuu, why? Huwezi post unless wewe ni member. So ukisema mimi ni mgeni ooh sijui nini.. Bossss! Hainidhuru ata kidogo.
hehehe unagombana na kila mtuπππ inaonekana mgeni unamoto sana leoWewe inakaa unatoka kwenye mashimo na Vichaka za Tanzania. Nitakusihi ufanye research on whatever you are talking about... Or better yet, just cross over the border and travel around Kenya. Not even Nairobi, just travel around Kenya. Ati uchumi umeshikiliwa na wazungu.. Wazungu gani? Toka vichakani (naona uko na internet) google about Kenya alafu ukuje hapa tujadiliane. Sio kuropokwa tu juu uko na simu na internet.
Be useful to this forum
Haha nilikuambia utadhani watu ishirini kumbe mmojahehehe unagombana na kila mtuπππ inaonekana mgeni unamoto sana leo
Asante sana.. Ipo kitu kingine wataka niseme? No? Okaykaribu sana uwanja wa jamii forum ila tu usije kimbia humu tafadhaliππππππ
karibu sana once again
Hatutaki in any way WHATSOEVER kushindana na Dar. Dar inataka by ALL MEANS kushindana na NBO [emoji24] [emoji23] [emoji23]wanataka shindana na dar
View attachment 802236
ha ha ha ha ha, povu lote la nini? ukweli unaumaWewe inakaa unatoka kwenye mashimo na Vichaka za Tanzania. Nitakusihi ufanye research on whatever you are talking about... Or better yet, just cross over the border and travel around Kenya. Not even Nairobi, just travel around Kenya. Ati uchumi umeshikiliwa na wazungu.. Wazungu gani? Toka vichakani (naona uko na internet) google about Kenya alafu ukuje hapa tujadiliane. Sio kuropokwa tu juu uko na simu na internet.
Be useful to this forum
Hakuna povu. Zingatia niliyo kuambia hapo Juu alafu uje tuendelee kujadiliana. FOCUS! Make yourself useful nduguha ha ha ha ha, povu lote la nini? ukweli unauma
hehehe nimecheka sana yani kila mtu ww ni mgonvi wako dahππππππHaha nilikuambia utadhani watu ishirini kumbe mmoja
After all hii ni forum na naweza jadiliana na mtu yeyote
sasa unalia tena whats wrong??πππHatutaki in any way WHATSOEVER kushindana na Dar. Dar inataka by ALL MEANS kushindana na NBO [emoji24] [emoji23] [emoji23]
Kijana wenu anazingatia emojis sasa? Calling on all Tanzanians of good will. Tafadhali saidieni huyu kijana wenu.sasa unalia tena whats wrong??πππ
mm nimeshapambana na watu kama ww zaidi ya 10 ndugu rejea post za nyuma utajionea heheheπππππKijana wenu anazingatia emojis sasa? Calling on all Tanzanians of good will. Tafadhali saidieni huyu kijana wenu.
Bado nitakusisitizia sasa lakini bila emojis:
Hatutaki in any way WHATSOEVER kushindana na Dar. Dar inataka by ALL MEANS kushindana na NBO
unafanya utafiti panapokuwa na jambo unalotaka kulijua kwa niliyoyasema yanafahaminka hamna haja ya utafiti! endelea kuwa mbuni kwa kuficha kichwa kwenye mchanga ukidhani hauonekani.Hakuna povu. Zingatia niliyo kuambia hapo Juu alafu uje tuendelee kujadiliana. FOCUS! Make yourself useful ndugu