Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We really do want it here, our wish is that you guys have avoice... Mmekaliwa sana na serikali..
JF ni yetu sote ikitikiswa wote tunatikisika...Ila msisahau kila kizuri lazima kipitie wakat mgumu pia
 
We can not assume it's business as usual.. Tunazungumza na watu waoga sana...

Mdomo ndio wanao mkubua wakuropoka
 
The ugliest thing I have ever seen from the JF resume
Tell them, this argument is really boring. Nobody will agree that one city i better than the other, this discussion has lost taste.
 
2045???? 27 years to come. Dar itakua mara 5 ya sasa
 
We really do not want it here, our wish is that you guys have avoice... Mmekaliwa sana na serikali..
nyie ambae hamjakaliwa na serekali ndio maana munauziwa nyama ya paka na sukari yenye mercury 😀😀😀😀😀
 
Hizi ma Vinyerezi zote Sijawai sikia. Kwa hivyo ata bado hamjafukua umeme.. Sijui stiglers gorge ziko wapi? Ziko na umeme hazina?

Tanzania mnataka treni za umeme huku Electricity penetration countrywide haijapita 25% ??? Mkifikiria vizuuuri gani muhimu?

Ndio maana niliwaambia Kenya kuna taratibu. Electricity penetration countrywide iko around 69% ikielekea 75% lakini wahandisi wa SGR waliona busara treni zitumie diesel for now, tukishapata umeme wa kutosha basi tunaweza ku upgrade SGR ikue electric

Treni zenu zitatumia umeme gani? Ama mnaongelea vision 2055?
 
nyie ambae hamjakaliwa na serekali ndio maana munauziwa nyama ya paka na sukari yenye mercury 😀😀😀😀😀
Paka.. Nyoka.. Gorilla hata binadamu sehemu zingine bado kitoweo.

Zebaki yaani mercury ni chuma ngumu na nzito sana huwezi pata tu ivi ivi. Nyinyi media yetu ambazo most ni fake news mnazipenda na kuyafata hadi propaganda mmekua brainwashed na ata nyinyi si waKenya? Namna gani hapa Alar?

Maneno ya sukari behind the scenes ni mvutano wa wafanyibiashara wanaohusika na sukari. Apana cheza na vyuma nzito msio yajua ivi ivi.

Kuwa mtu mwenye kufikiria na duniani Utafika mbali
 
Apartment zote zishaa nne zishaa pita 30flrs zinaenda juu wacha nikupe picha ingine mzee ha kidogo😀😀😀View attachment 801713 View attachment 801714
Kweli Nairobi ni The New York of Africa...
Yani Westlands pekee inatesa Dar yoote + Kampala + Kigali... Wha!!
I think by next year itakuwa ni Nairobi vs Joburg ju already Britam is The 2nd Tallest Deck in Africa & by 2022 we'll be hosting the tallest building in Africa so Dar mtulize NYEGE.... Compete with the likes of Kampala.... Kigali... Nairobi sio level yenyu bana
 
hehehe binaadamu anaishi hapa nairobi alaf wanataka shindana na dar.
Nairobi ni Kubwa sana kaka Kibera is a Speck... I think unafaa kutembea Huku ujionee.... Pesa zako zitaisha hata Kabla Umalize hii Nai... Dar niko sure in 1 day naeza maliza... Tourist attractions ni... 3 blue buildings, Beach, alafu namalizia Karioko kununua Vitu ka nimerudi Jiji(Nairobi)
 
Mercury ni chuma ngumu sana who told you?

generally mercury considered as liquid. Because it's melting point is very low. It is liquid at room temperature. and it's boiling point is also very high.

Be careful here
 
ww nadhani unafkiri hii ni ile tz ya 90s heheh eti tz electricity haija penetrate 25? we mzima kweli wewe??
😀😀😀😀 au mulijua tupo tu tumekaa tunawaangalia

access to electricity tanzania is over 77% my friend hakuna maneno ya porojo hapa na eka akilini miradi yote niliokutajia ujenzi unaenda kwa kasi sana

sisi hua hatumbii kufanya kitu pasipokua na akili kama nyie munaenda ingia deni kubwa munaletewa vyuma chakavu sisi hatuendi hvo kila jambo linafanyiwa tathmini na mradi wa electric modern train ikikamilika ndio itakua modern electric train in africa najua sana unaumia ila vumilia tu hakuna namna
 
Mercury ni chuma ngumu sana who told you?

generally mercury considered as liquid. Because it's melting point is very low. It is liquid at room temperature. and it's boiling point is also very high.

Be careful here
Careful for who? Mtanzania wacha nikufunze:

Mercury can only exist in methyl mercury form AFTER binding with proteins in animals e.g fish. It cannot be mixed with organic matter such as Sugar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…