Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasawa mkuu.. Ata hiyo 80kph unayosisitiza japokua ni uongo nitaikubali kwani bado ni kasi sana kwa treni ambazo tulikua tumezoea 30-40kph
ni uongo au hupendi ukweli??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Buda SGR Itafika hadi KIGALI sasa sijui hiyo 700km yako tutaiweka wapi
kigali yuko huku na kasha saini mkataba tanzania kigali ya wapi unayoizungumzia weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ burundi nae kasha saini tayar yani hapo msali sala zote kumuomba uganda tu
 
Hizo ni shida zetu. Na bado tukiwa na hizi mashida bado tuko better kuwaliko.

Swali ni jee.. Tukipambana na mashida zetu tutakuaje? Si mtaona Kenya ni kama England ya Africa na Nairobi kama LONDON? [emoji23][emoji23]

Mjimudu tafadhali
kwa taarifa yako kenya ina shida nyingi sana kuliko tanzania hata leo ukiangalia inflation kenya iko juu kuliko tanzaniaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ muna nuka njaa usiku na mchana

nairobi ni kama london au sioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nyie muna roho mbaya sana na hamupendi kuona tanzania ikiinuka tunawajua vzr sana na safari hii tutakula sahani moja na nyie mpaka maji muite mmaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna Hii picha niliona hapa kitambo kidogo lakini NBO yavutia Itabidi nimeirudisha hapa.

Hii bado CBD
 
Yes this is the spirit of neighborhood. Kwani kweli Tanzania tufanye yetu tu by any means hatuwezi kushindana na Kenya. They are well ahead of us not by inches but by miles
 
City Mortuary roundabout on my way home.. Ngong Road
 
nyie muna roho mbaya sana na hamupendi kuona tanzania ikiinuka tunawajua vzr sana na safari hii tutakula sahani moja na nyie mpaka maji muite mmaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sisi ni mandugu bro, Siwezi takia mtu yeyote mabaya especially hapa Africa mashariki. Mkikua tunakua pia, kutana na mkenya yeyote nje ya JF na mzungumze kuhusu TZ, utashtuka hakuna alie na mabaya kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…