Zimetumika ata 100 years ago lakini cha muhimu kwa waKenya ni kua zinafanya kazi tena vizuri sana. Hakujakua na maajali, zinakimbia kwa kasi (120kph na 100kph) na ziko comfortable.hehhe mchina kawachakaza kweli kweli kawaletea train zimetumiaka 50yrs ago ππππ alaf leo wanajisifu
ndio zinakuumiza sana ila mkiambiwa kwenye over 20floors munakimbiaπππππAs usual the three buildings
which is 100km per hr hebu tueleze hapo???? cargo train??Zimetumika ata 100 years ago lakini cha muhimu kwa waKenya ni kua zinafanya kazi tena vizuri sana. Hakujakua na maajali, zinakimbia kwa kasi (120kph na 100kph) na ziko comfortable.
Watanzania mnaangalia sura ya treni tuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Weka evidencedar kuna sehemu inaitwa kinondoni nairobi hawana hyo sehemu
Hiyo view inaweza patikana tz tu katka dunia hiiπNdiyo wizi wenyewe huo ila dreamliner 7 zinakuja route zote za KQ hapa tz atachukua Atcl
Hahaha yani unadhani mimi ni mgeni ati nimeingia JF jana tuu? Buda, Hii thread nimefuatilia Tangu ianze na hiyo list nimeshaona. Ati Ulikua unangoja nizungumzie slums? [emoji23][emoji23][emoji23]hehehe wacha turudi kwenye facts kumbe akili yako ulijua hzo ni slum hehehheπππππ na hapo ndio nilikua nakusubiri kwa hamu uguse kwenye slum ujionee raha ilioje karib sana
View attachment 801404
Uliskia dunia inaisha kesho? Hizo mikopo ni zetu na tutazilipa usijali. Kenya bado inakua (economy yetu very strong BTW) so mikopo or not hazifai kukusumbuawhich is 100km per hr hebu tueleze hapo???? cargo train??
munachukua mkopo 4b usd nai to msa alaf munaletewa train za 50yrs ago hahahahππππ
YANI KWENYE NENO LINALOITWA SLUM HEHEH KWANGU UTAKIMBIA BUREHahaha yani unadhani mimi ni mgeni ati nimeingia JF jana tuu? Buda, Hii thread nimefuatilia Tangu ianze na hiyo list nimeshaona. Ati Ulikua unangoja nizungumzie slums? [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya nishaguzia slums na nimekwambia ziwemo tena nyingi sana ila hazitudhuru
Zko comfortable kwa standard za kwenuZimetumika ata 100 years ago lakini cha muhimu kwa waKenya ni kua zinafanya kazi tena vizuri sana. Hakujakua na maajali, zinakimbia kwa kasi (120kph na 100kph) na ziko comfortable.
Watanzania mnaangalia sura ya treni tuu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo view inaweza patikana tz tu katka dunia hiiπ
economy inakua kwa 4.4% unaita strong huku dedt to GDP ratio is 60% heheh yani mchina kawacharaza viboko vitakavowaumiza 40yrs my friend 4b usd nai to msa 450km alaf munaletewa train za 50yrs ago wakat tanzania inajenga modern electric train in africa 700km kwa 3.16b usd without any single loanπππππππUliskia dunia inaisha kesho? Hizo mikopo ni zetu na tutazilipa usijali. Kenya bado inakua (economy yetu very strong BTW) so mikopo or not hazifai kukusumbua
As for the trains uliza mkenya yeyote Ule ama Ndugu zako waTZ waliozipanda utakuja hapa kutuambia kama nadanganya
hahahhaha yani wameumia lakin still they pretend kua wako sawaππππππZko comfortable kwa standard za kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]economy inakua kwa 4.4% unaita strong huku dedt to GDP ratio is 60% heheh yani mchina kawacharaza viboko vitakavowaumiza 40yrs my friend 4b usd nai to msa 450km alaf munaletewa train za 50yrs ago wakat tanzania inajenga modern electric train in africa 700km kwa 3.16b usd without any single loanπππππππ
hii sio ile tz ya 90s
heheheh kilio nilijua tuπππππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Danganya toto jinga
Standards zenu ni gani?Zko comfortable kwa standard za kwenu
mchina nuksi aiseeπππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Danganya toto jinga
Kina Japan, America, China, Germany wako na debt to GDP ratio ya more than 100 % wengine ata 200%economy inakua kwa 4.4% unaita strong huku dedt to GDP ratio is 60% heheh yani mchina kawacharaza viboko vitakavowaumiza 40yrs my friend 4b usd nai to msa 450km alaf munaletewa train za 50yrs ago wakat tanzania inajenga modern electric train in africa 700km kwa 3.16b usd without any single loanπππππππ
hii sio ile tz ya 90s
Standards zenu ni gani?
Hamna idea kwa sababu bado hamjui kama SGR yenu itaundwa, imalizike au LA
Standards tutacompare mkishapata SGR.
Standards za TAZARA zi vipi?
Ukweli usemwe na watu tukubali,kuanzia morroco hadi mwenge eneo hill ndio kijitonyama ipo kuna majengo mazuri mapya na new developments kando ya hiyo bagamoyi road lakini nyuma ya hayo majengo ni uswahili na uchafu maarufu kama slums japo sio kama za nairobi may be kwa kuwa linajengwa taratibu litakuja kuwa kama posta au upanga ila kuishindanisha na mitaa ya nairobi kwa sasa ni uongoYaani kumbe nje ya cbd dar hakuna kitu kijitonyama yenye mnashinda mkiiba ha pa ni majengo alalafu slum alafu hadi unaikana, cha muhimu umejua dar ni ya kulinganisha na Mogadishu kuanza leoππππ
Good. Lakini