Kha!! Hebu ona huyu naye. Unajua hata ranking ya clubs? England au Hispani zinaweza zikawa chini kama team ya nchi. But they have best clubs in the world. Ndiyo maana wachezaji bora wanatoka huko kijana. Club ni pesa. Go Mahaya hawana pesa kijana.
Hapa umeanza kutoa mavi sasa. Nimekuambia ulete statistics za mechi inazomtambulika kwenye FIFA baina ya team za Kenya na TZ. Ukishidwa naleta mimi.
Lazy Players and cry baby fans
but how in that poor stadium man? , Halafu we were testing our new players kama yule dogo mwenye kiduku aliyekuwa anasumbua huku mbele hata wiki hana ndani ya Simba, Congrats to Mahia and Simba B Coz atleast they made it to the finals, and besides, ushakata Govi msee?Yenu ni mbwembwe tu za kila siku.... You see this is a classic example of Danganyika. So much ado about nothing. I sat in front of my TV today expecting to see Barcelona from south.... Duuuh. Sincerely speaking.....There is No skill in Tanzania.
We fala siongelei club ranking. Kuna mwenzenyu hapo nyuma alisema Tz iko mbele ya Kenya kwa FIFA ranking so nataka aone hiyo. Umeskia falaKha!! Hebu ona huyu naye. Unajua hata ranking ya clubs? England au Hispani zinaweza zikawa chini kama team ya nchi. But they have best clubs in the world. Ndiyo maana wachezaji bora wanatoka huko kijana. Club ni pesa. Go Mahaya hawana pesa kijana.
but how in that poor stadium man? , Halafu we were testing our new players kama yule dogo mwenye kiduku aliyekuwa anasumbua huku mbele hata wiki hana ndani ya Simba, Congrats to Mahia and Simba B Coz atleast they made it to the finals, and besides, ushakata Govi msee?
Kwikwikwikwi. Ona sasa ulivyo mweupe kichwani hapa tunaongelea Simba kijana na Go Mahaya ipi ni bora. Mbona unatoa povu. Sasa hivi naanza kushusha nongo. Mtakimbia ninavyowajua.We fala siongelei club ranking. Kuna mwenzenyu hapo nyuma alisema Tz iko mbele ya Kenya kwa FIFA ranking so nataka aone hiyo. Umeskia fala
Ok we are waiting for next year again,tho.would love to see simba taking on evertonHongera Gor Mahia kwa Ushindi, But nawakumbusha tena kuwa that was Simba B, Hatuwezi kuleta our professional Players like Emanuel Okwi, John Boko, Asante Kwasi kwenye Unprofessional Bonanza being aired by Unprofessional Media and in Those Poor facilities,
Please Let me remind you that natamani sana Timu za Kenya zinavyokamia gemu walahi hiyo spirit tungekuwanayo wabongo tungefika mbali, Your players are so serious and organised on the pitch,
Twende kazi. Team za Kenya ni kama uyoga tu. Hii hapa Statistic
View attachment 799577
View attachment 799579
View attachment 799582
Najua kwako kuifunga Simba umaona raha sana. Maana ni kitu adhimu sana. Umeona lakini Statistic hapo juu? Clubs za Tanzania zinavyoongoza?simba ikachapwa mbili mtungi.... Kwi kwi kwi... You are non starters you people.... Jaza links anzia us hadi Australia na links. The fact is there is no football In Danganyika.
you will bring all the stats but the reality sucks you, Kenya na football wapi na wapi? wale wachezaji wenyewe wa Gor mahia utadhani wametoka mashimoni, Wanatisha yule stricker aliyefunga first goal kila wakati yupo offside position, Nguvu Kibao dah kama Vifaru aisee.
Najua kwako kuifunga Simba umaona raha sana. Maana ni kitu adhimu sana. Umeona lakini Statistic hapo juu? Clubs za Tanzania zinavyoongoza?
you will bring all the stats but the reality sucks you, Kenya na football wapi na wapi? wale wachezaji wenyewe wa Gor mahia utadhani wametoka mashimoni, Wanatisha yule stricker aliyefunga first goal kila wakati yupo offside position, Nguvu Kibao dah kama Vifaru aisee.
halafu hata kurusha matangazo ya mpira hamuwezi, why dont that sportpesa hire AZAM, a professional Media to air this bonanza.
leta picha hapa sio porojoππππOfisi ya Gor iko nyayo stadium. .....n.a. kuna clabu ya ku burudika humo pia iitwaye "kuche kuche"....
Ati kagame cup..! jeez.. hiyo tutaleta Gor D
Pengine, Maana nyie wenzetu mnafanya mpira Civil War, Huku sisi tunafanya Burudani, i can tell u simba spent $500,000 buying players last season, the salary Emanuel Okwi earns equals to all annual Gor mahia players salaries, Even your Gor mahia coach u are having Now Simba sacked him last few months nyie mkamuokota. Now u know who is whoHakuna team kubwa hapo.... That is equal to our Kariobangi sharks... In terms of skill hiyo team ingekuwa kwa Kenyan Premier league ingekuwa inafuta mkia.... Na Giza mwana Govi. Mtu mzima akikuongelesha unatii.
I said it excuse itakua team b, simba players might be paid better than english players thus they dont need to travel to UK and get noticed,WTF Lambeni lolo meeeen
Pengine, Maana nyie wenzetu mnafanya mpira Civil War, Huku sisi tunafanya Burudani, i can tell u simba spent $500,000 buying players last season, the salary Emanuel Okwi earns equals to all annual Gor mahia players salaries, Even your Gor mahia coach u are having Now Simba sacked him last few months nyie mkamuokota. Now u know who is who