Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

" It is very good house which is located Masaki it is unfirnished house 4Bedroom..."

Hata kama ngoso ilikam na meli mungu wangu, kwani meli ya Tanzanians ilikuwa hijacked before ifikishe kingereza? πŸ˜€πŸ˜€View attachment 799173
Hehehe....umenichekesha kweli. Eti "unfurnished house". hiyo ni kali
 
mababu zenu walisema hivyo hivyo na bado vitukuu wenu watasema tu lakini kushika Kenya ni ndoto Kali.
 
Leo ni siku yako ya off naona hata kulala unalala masaa ya late night ama you double up as muindi's defender yani watchman?
mm sipangiwi na mtu muda wa kulala wala wakuamkaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ lexus inaumiza moyo mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…