Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This one is Ksh 75000
75,000 ni rent ya nyumba kule Syokimau lakini Dar, hiyo pesa unapata nayo nyumba kule masaki...halafu wanapiga kelele vile Masaki sijui oysterbay ni mitaa ya nguvu kuliko yoyote ile Nairobi. hawa wabongo wanacekesha kweli....Nimemwekea ya Ksh800,000 ngoha niskie vile atasema
 
ukhekhe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tatizo lako wewe dharau zimekujaa sana ndio maana kila kitu unaonekana mjinga
 
Yaweza kua ghali 4nothing...uliwahi faham O'bay nyumba ni pesa ngap?All the gov officials ambassadors companies CEO kutoka mataifa yote huishi uko Au Masaki sasa ww unaongea nn..
Niletee nyumba kama baadhi ya hizi ambazo ziko runda alafu twende kazi si mdomo tu
 
Attachments

  • tapatalk_1528576414161.jpeg
    68.4 KB · Views: 36
ukhekhe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tatizo lako wewe dharau zimekujaa sana ndio maana kila kitu unaonekana mjinga
Mbona nisiwadharau wakati mnaleta nyumba za ksh75,000 kisha mnataka battle na Nairobi? Hizo ni nyumba za middle class Nairobi nashangaa huko kwenu ni za matajiri wa masaki na oysterbay...
 
Yaweza kua ghali 4nothing...uliwahi faham O'bay nyumba ni pesa ngap?All the gov officials ambassadors companies CEO kutoka mataifa yote huishi uko Au Masaki sasa ww unaongea nn..
Nairobi kulipa rent $10000 si ajabu my friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…