Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leta ushahidi kua kuna nyumba nairobi rent ni ks 400,000 hapa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I guess hajui mbona naconvert prices...Anadhani niko side yakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
I guess hajui mbona naconvert prices...Anadhani niko side yakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ushahidi uko wapiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sina undugu na mkenya mm ukijikengesha nakunyoosha tu
 
hapa ni

hapa ni dar??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kws real estate, tanzagiza ni kitukuu wa kenya ndio maana ichoboy01 nimekwambia uondoe inzi kwa nyama!

 
Nicxie niendelee au unaenda kulalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Endelea....ukifika ya $4,000 per month iniambia...unazoleta saa hii zinapatikana katika mitaa za kawaida tu kama vile Lang'ata, South C na Syokimau. Ukifika level ya muthaiga, Karen na Runda unijulishe
 
Dar nzima kuna nyumba ya kulipwa Ksh400,000 per month? Nyumba kama hizi zimejaa maeneo ya Karen, Runda, Muthaiga, Lavington, Spring Valley, Ridgeways, Lower Kabete, Gigiri na kadhalika
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndiyo maana tunakuambia dar hauijui .....hiyo ni pesa ndogo sana watu wanalipa 2M Per month ha haaa umenichekesha sana
 
kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…