Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nmewah fanya kazi na mzungu mmoja ambae apo Nbo kwenu hufika sana ni boss anaishi O'bay one thing aliwah niambia Nbo Is fine but sio kwa O'bay bro...Kuna beach na mijumba ya viwango sasa nyie mko n nn?utasema estate achana na huo upuuzi
 
hana akili huyo. ukimskia anavyoropokwa, utajua wazi ubongo umejaa uji wa muhogo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sina akili ndio ww mwenye akili unann?Smartphone na line ya safaricom?
 
Hawa jamaa uzalendo Imewalemesha kabisa hawajabakisha akili ya kufikiria. Hata wana habari kweli rent ya nyumba Karen ni pesa ngapi? And do they know how much it costs to buy a piece of land in Karen?
Yaweza kua ghali 4nothing...uliwahi faham O'bay nyumba ni pesa ngap?All the gov officials ambassadors companies CEO kutoka mataifa yote huishi uko Au Masaki sasa ww unaongea nn..
 
Alikuwa anataka 12 na ndo nimemshow.
unijibu swali is that 10lanes???? hehhe nimecheka sana thika ni 8lanes and not 10 lanes siku nyingine usiwe mjinga kupindikiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›
 
Ichoboy atapita hii polepole kana kwamba hajaiona...I told him about 12 lanes na anaitisha 10 lanes....Dar itasoma number ya Nairobi hadi mwisho wa safari
hio ni 10lanes??? hahahha kweli mkenya kichwani kumejaa kamasi ww unaijua 10lanes inavokaa hio 8 lanes munasema 10 lanes nimecheka sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›
 
picha za thika rd zimeonyeshqa hapa a mollion times so pitia pages za nyuma uwache kuwa sumbua
thika ni 8lanes my friend usije kwenda mbele za watu ukasema 10lanes watakucheka watu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hii ni 10 lanes ww akili unayo kweli hio ni 8 lanes hvi 10 lanes unaijua vzr weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unaziona naneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...Kaa ni nane hakuna shida, siezipingana na wewe kwa vitu obvious.
 
Unaziona naneπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...Kaa ni nane hakuna shida, siezipingana na wewe kwa vitu obvious.
wewe kumbe fala sana nilikuona unaakili kumbe bogus unajua how lanes zinavohesabiwa???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
unahesabu mpaka barabara za michepuko nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…