Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukhe ukhe mpaka udenda unakutoka πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
dar kuifikia chukua nairobi+ mombasa+ kisumu+ kigali+ kampala l+ eldoret alaf uje
Kweli kwa hilo hatuwezi kuifikia hiyo 92% slum city.
 
mbona towns zenu za Kaskazini ziko organised than the rest?
Hata Morogoro and dodoma,kahama ziko organized. ..but kask ofcz kumestaarabika nadhan ni watu kuwajibika tu...
Moshi inaeneo dogo wakiongeza eneo na kuimprove miundombinu itapewa hadhi ya jiji Ila kwa sasa bado ni Municipal
 
Mbona moshi isipewe kibali kuwa City kuliko towns. za ufala Ka iringa,mbeya,na tanga
Tanga Ni more organized than Moshi hata mapato ni mengi kwa vile wanabandari viwanda na shughuli nyingi za kilimo cha biashara na mazao ya chakula. ...
Huijui Tanga ndio maana unapadharau
 
umepotea chief cooker

mombasa ni sawa na tanga,,tena tanga iko bomba sana zaidi ya mombasa[emoji2] [emoji2]
Sasa kwa akili zako za ki-LDC unasahau bandari kubwa Zaidi Ukanda huu iko Mombasa Kenya. Sasa swali rahisi ambalo huwezi shindwa kujibu ni hili...Je kwa Bandari Kenya imeichapa Dar es Salaam?
 
Sasa kwa akili zako za ki-LDC unasahau bandari kubwa Zaidi Ukanda huu iko Mombasa Kenya. Sasa swali rahisi ambalo huwezi shindwa kujibu ni hili...Je kwa Bandari Kenya imeichapa Dar es Salaam?
kivipi.....?....


halafu usiulize maswali yakilevi
 
kwavile nairobi iko organized??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ushuzi mtupu
[emoji2] [emoji2] kuna mwingine huyu demu wake na chid benz mwasiti wa nairobi anakuja hapa na maswali ya kitoto eti bandari ya mombasa imeichapa bandari ya dar.....sijui anataka ajibiwe tusi
 
AbassChizzy haya gusa na kwenye hotel between moshi and eldoret au nakuru alaf uone kama utatoka salama hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hii sio ile tz ya 90s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…