RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,494
- 135,470
Ha ha ha ha ha....Kazi kuzaana kama panya
KENYA
Total fertility rate 2.98 children born/woman (2017 est.)
TANZAGIZA
Total fertility rate 4.77 children born/woman (2017 est.)
Ha ha ha ha ha....Kazi kuzaana kama panya
KENYA
Total fertility rate 2.98 children born/woman (2017 est.)
TANZAGIZA
Total fertility rate 4.77 children born/woman (2017 est.)
Aisee unawamudu!
Watu wako kazini bibi wwIta, uta, tuta...the best vocabulary in Tanzania
Tofauti ni nn?ushambaHehehehe....yani Dar iko hadi na wilaya!!! That's why we always say it's a glorified village
Watuonyeshe magofu ya bank kuu yao...
Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 797035View attachment 797036
Hapo vp mkuu?Sidhani kenya imefika 50mln
Wanakwambia tunazaana kama panya wakat chakula wananunua kutoka ukuHapo vp mkuu?View attachment 797077
utafanya wakimbie sasa bro😀😀😀Watuonyeshe magofu ya bank kuu yao...
na waseme uchumi wao unakuaje
lete na ya danganyika 'live' piaHapo vp mkuu?View attachment 797077
lakin kwenye unemployment rate hua hamuulizi😀😀😀😀😀 kwasababu kuna donda kubwa na siku zote nzi kufa kwenye kidonda ni halali yake😛😛lete na ya danganyika 'live' pia
hio ndio official sourceTanzania Population clock (live)
58,579,163 Current population
Live Tanzania population (2018). Current population of Tanzania — Countrymeters
Kenya Population clock (live)
49,731,099 Current population
Live Kenya population (2018). Current population of Kenya — Countrymeters
Oklakin kwenye unemployment rate hua hamuulizi😀😀😀😀😀 kwasababu kuna donda kubwa na siku zote nzi kufa kwenye kidonda ni halali yake😛😛
40% vs 2.7%
population 50 vs 53.4
no. not at all.unabisha au😀😀😀😀
sasa wacha nikufundishe kumbe ulikua hujuiati 2.7% [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hata muuza njugu pia anahesabiwa kuwa na kazi [emoji23] [emoji23] issokay [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nilitegemea maumivu hehhe asante kwa hasira na ghafhabu 😀😀😀😀😀no. not at all.
it depends..... if you know what i mean [emoji23] [emoji23] [emoji23]