Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wamekimbia baada ya kushika zile nyuzi za kwenye makende 😀😀😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
this is simba brother....viva tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
ila hawa gormahia wasidhani singida united ni team ya mzaha mzaha...gor wakizubaa basi fainali itakuwa ni kati ya simba vs singida(zote za tanzania).
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
yaani hata hawatusumbui kichwa hawa wakenya...
 
[emoji23][emoji23] mwaka huu inabid tu teams za Tanzania zote ndio ziingie fainali kweny ardhi ya Kenya!
ila viwanja vya mpira vya kenya ni bogus kabisa. havina viwango.
 
yaani kapoteza mda wake kwa kuandika vitu vyakujifariji nafsi yake......[emoji2] [emoji2] [emoji2]

wapo humu humu
 
yaani kapoteza mda wake kwa kuandika vitu vyakujifariji nafsi yake......[emoji2] [emoji2] [emoji2]

wapo humu humu
ukute aliyeandika hiyo article ni kati ya hawa vilaza wachache waliojiunga hapa jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…