Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lead-street-jpg.444253

DSCN01892.jpg

TzniaWeb-13.jpg
kibera baby
Kibera_Slum_Railway_Tracks_Nairobi_Kenya_July_2012.jpg

kibera-river-1024x680.jpg
 
huoni ikijengwa au vile mchina aliwajengea hio reli ya miaka 50 iliopita kwa siku 10😀😀😀😀
Mimi zaidi ya vumbi na kuonyesha mabweni ya kulala hakuna kitu nimeona so far, bongo ni movie tu sasa mwaka unakaribia kuisha na hakuna kitu ya kuonyesha alafu ccm inawadanganya ati reli inajengwa usiku na mchana😛😀😀
 
wapo wanaoona heheh wewe unaona ila roho inakuuma kuskia ni reli ya kisasa zaidi ya umeme africa😀😀
hehhe magufuli kiboko ya njia kiboko ya wakenya
 
Nani amekuambia hio ni Nairobi mzima wewe mr kiherehere. Hii sio Kariokor kila pahali ni ghorofa fupi fupi bila mpangilio. Take notes na upunguze povu.
 
Back
Top Bottom