KENYAN BOY huyo OCTOPIZZO
vipi sasa.....ushaanza kuwehuka.....

lete link hapa.
hapa hatuongei maneno matupu!!!! wewe wa wapi wewe?

KENYAN BOY huyo OCTOPIZZO
hamna kitu hapo. unajua vigezo vinavyotumika ili nchi iwekwe kwenye kundi la ldc kweli?msee naona umeitisha sana link mpaka hasira imekupanda.
haya link hii hapa... njoo na request nyingine.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
http://www.imf.org/external/datamapper/PPPPC@WEO/OEMDC/ADVEC/WEOWORLD/ARG
1. Master Plan of the cityvipi sasa.....ushaanza kuwehuka.....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwa jinsi sura la huyo mkola lilivyo hakika huyo ni kenya boy from ze scrach kibera
kumbe wewe ni mtu wa porojo.... basi endelea na porojo zako since nipo busy sana mda huu...nipo site nasimamia one of my project.hamna kitu hapo. unajua vigezo vinavyotumika ili nchi iwekwe kwenye kundi la ldc kweli?



njia moja ya kukimbia kama mwizi wa baiskelikumbe wewe ni mtu wa porojo.... basi endelea na porojo zako since nipo busy sana mda huu...nipo site nasimamia one of my project.![]()
endelea na porojo zako buda. you are entitled to think anything regarding me.njia moja ya kukimbia kama mwizi wa baiskeli

ahahahah hasira zimekushika sasa😀😀😀😀😀😀hamna kitu hapo. unajua vigezo vinavyotumika ili nchi iwekwe kwenye kundi la ldc kweli?
endelea kupigwa na jua huko site. sisi tuko ofisini tunapigwa na a.cendelea na porojo zako buda. you are entitled to think anything regarding me.
kwa sasa nipo site....hapa kazi tu.tafuta jobless mwenzio mkenya wa kupiga naye porojo.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
umeomba link umepewa kua tz sasa hvi haiko LDC bado wewe unataka nn😀😀😀😀njia moja ya kukimbia kama mwizi wa baiskeli
Explore Tanzania
sawa kanjo askari wa nairobi city council, tumekusikia.endelea kupigwa na jua huko site. sisi tuko ofisini tunapigwa na a.c

screenshot pahali inasema Tz haiko ldc ulete hapa. unadhani kutoka ldc ni kuamka siku moja na kusema kuanzia leo sisi hatuko ldc?? sio?umeomba link umepewa kua tz sasa hvi haiko LDC bado wewe unataka nn😀😀😀😀
nyie tunawajua siku nyingi sana hakuna mkenya anaeitakia tanzania mema never ever ndio maana tuta deal nanyie kisawasawa