ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
uhahaha hukusoma maelezo ya IMF 2018😀Hio hata haiko kwa List ya Slums iko kwa General list ya Poverty
uhahaha hukusoma maelezo ya IMF 2018😀Hio hata haiko kwa List ya Slums iko kwa General list ya Poverty
Kwani hizo za Tz ndio zinaweza?? Mnajiwekea timu 4 ndio mkuwe na advantage msitolewe mapema na bado zitapigwa zootenadhani team zingine za kenya hazina uwezo wa kushiriki haya mashindano. ni gormahia pekee.

hizo matukunyema zenu zinazingua..........hazia mvuto chief bora ukaushe tuSasa Katie ya mtu wa dar na Nairobi nani kachanuka kuliko mwengine... Hao ni watanzania wa dar Bado kushangaa BRT wakinyambanyamba Humo ndani ona huyo babu yako vile amekaza mshuto![]()
![]()
while us in Nairobi ni kuenjoy wifi na Mziki nyinyi nikunyambiana kwa BRT
![]()
![]()
View attachment 795191View attachment 795192View attachment 795193
hiyo list imepangwa na cecafaKwani hizo za Tz ndio zinaweza?? Mnajiwekea timu 4 ndio mkuwe na advantage msitolewe mapema na bado zitapigwa zoote![]()
![]()
![]()
huo ni ushamba wa hali ya juu, yaani katika karne hii ya maendeleo ya digitali bado mtu unaenda ku-enjoy mziki wenye makelele kwenye matatu?. smh.Sasa Katie ya mtu wa dar na Nairobi nani kachanuka kuliko mwengine... Hao ni watanzania wa dar Bado kushangaa BRT wakinyambanyamba Humo ndani Una huyo babu yako vile amekaza mshuto![]()
![]()
while us in Nairobi ni kuenjoy wifi na Mziki nyinyi nikunyambiana kwa BRT
![]()
![]()
View attachment 795191View attachment 795192View attachment 795193

yap....yaani ile roho inapenda......unasikiliza ukipendacho siyo akipendacho derevahuo ni ushamba wa hali ya juu, yaani katika karne hii ya maendeleo ya digitali bado mtu unaenda ku-enjoy mziki wenye makelele kwenye matatu?. smh.
wastaarabu tunapo panda kwenye public transport huwa hatupendi kelele. kila mtu anakuwa busy katika utulivu wa kutafakari mambo yake.
kwa sisi tunaopeda mziki, huwa tunavaa earphone au headphones tukisikiliza mziki kupitia smartphone zetu huku safari inaendelea mpaka mwisho wa safari bila kumkwaza mtu kwa makelele ya kijinga
this is what is supposed to be done in a decent public transport facility.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 795194
kwani cecafa ni mali ya nani?. tuanzie kwanza hapo.Kwani hizo za Tz ndio zinaweza?? Mnajiwekea timu 4 ndio mkuwe na advantage msitolewe mapema na bado zitapigwa zoote![]()
![]()
![]()
lini utaachana na bedsitter hapo nairobi?.Hebu leta zile picha za dream houses zenu za Dar leo tuyaone. it's been long since uzilete






halafu mamiziki yao kwenye matatu ni yale mariddim ya wavuta bangi wa visiwa vya caribbean.yap....yaani ile roho inapenda......unasikiliza ukipendacho siyo akipendacho dereva

yaani ni local.....sana hawa wakenya hayo mambo yaku pimp usafiri wa kupakiza abiria kwa kuweka mziki dar tulishaachanaga nayohalafu mamiziki yao kwenye matatu ni yale mariddim ya wavuta bangi wa visiwa vya caribbean.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
The guy has 2.9m views atleast he got paid even if hes wack he atleast tried to try unlike some lazy ass haters ,respect south sudanese humble beginningspale rapper wakikenya octopizzo anapotoa hit kali ndani ya kenya...![]()
![]()
![]()
Octopizzo......huyoThe guy has 2.9m views atleast he got paid even if hes wack he atleast tried to try unlike some lazy ass haters ,respect south sudanese humble beginnings

Kenya kugeuza matatu ziwe 'nightclub' ina maana hamna sehemu proper za kufanyia starehe!?Sasa Katie ya mtu wa dar na Nairobi nani kachanuka kuliko mwengine... Hao ni watanzania wa dar Bado kushangaa BRT wakinyambanyamba Humo ndani ona huyo babu yako vile amekaza mshuto![]()
![]()
while us in Nairobi ni kuenjoy wifi na Mziki nyinyi nikunyambiana kwa BRT
![]()
![]()
![]()
We PUNJU? Nini?? Oct Babayao unamcompare na hii GHASIA? Celeb from kibera number 8 SHIENZY!!Octopizzo......huyo![]()
![]()
What?? We unajua Kwa clubs Nairobi inaingia dar mara 20!!.. Infact KILELESHWA PEKEE imetoa dar yoteKenya kugeuza matatu ziwe 'nightclub' ina maana hamna sehemu proper za kufanyia starehe!?

Hio ni Coach bus hii ni SOKO ya BRT!!huo ni ushamba wa hali ya juu, yaani katika karne hii ya maendeleo ya digitali bado mtu unaenda ku-enjoy mziki wenye makelele kwenye matatu?. smh.
wastaarabu tunapo panda kwenye public transport huwa hatupendi kelele. kila mtu anakuwa busy katika utulivu wa kutafakari mambo yake.
kwa sisi tunaopeda mziki, huwa tunavaa earphone au headphones tukisikiliza mziki kupitia smartphone zetu huku safari inaendelea mpaka mwisho wa safari bila kumkwaza mtu kwa makelele ya kijinga
this is what is supposed to be done in a decent public transport vehicle.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 795194
Alafu nani alikudanganya hatuna Coach buses pundaii... Tuko na a variety to choose from like NYS buses... City hoppas, MANGANYA, na Matatu... When it comes to Civilization we lead buda!! We've got Swag and Civilization in the same Roof.. Kijana kwenye Transport usijaribu kabisa kujiringanisha na TZ labda wewe ni mshamba fulani. Ndiyo maana wenzako don't support you. Because you don't have exposure.Hio ni Coach bus hii ni SOKO ya BRT!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Alafu nani alikudanganya hatuna Coach buses pundaii... Tuko na a variety to choose from like NYS buses... City hoppas, MANGANYA, na Matatu... When it comes to Civilization we lead buda!! We've got Swag and Civilization in the same Roof.. View attachment 795277View attachment 795278View attachment 795279View attachment 795280View attachment 795281View attachment 795282View attachment 795283View attachment 795284View attachment 795285View attachment 795286View attachment 795288View attachment 795289View attachment 795290View attachment 795291View attachment 795292
Kenya kugeuza matatu ziwe 'nightclub' ina maana hamna sehemu proper za kufanyia starehe!?







