Asante kiongozi ilikuwa kero hasa acha aende akaongee matusi yake huko mashada.Hahahaha chezeya watz huyu...hakujua kama Mimi nilikuwa nampeleka kibra ili achinjwe.
akirudi kwa ID mpya atarudi kwa adabu.
na akija kwa kasi ile ile ya matusi,kazi itakuwa moja tu,kum-troll ili apigwe ban.
sisi ndio watz tunaomiliki jf.
huo ujinga wao waupeleke Twitter.kule ndio huwa uwanja wao wanaotumia kutoa stress zao wanapo debate na watu wa mataifa ya nje ya kenya.
Moro kutakuwa kutamuTusubiri mkeka. ..itafanya Moro ikue sasa kuliko ata dodoma maana ata electric train itaanza faidisha Moro pia
Chalinze morogoro kibaha kote kutajengeka kwa haraka sanaTusubiri mkeka. ..itafanya Moro ikue sasa kuliko ata dodoma maana ata electric train itaanza faidisha Moro pia
Hahahaahahahaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]tayari tushamaliza kazi.
nadhani kwa sasa atakuwa huko mitaa ya mageto ya kibera akitafakari juu ya kilichomtokea leo jioni hii.
nimemuelekezea kibra mpaka kachinjwa.
Kibaha pahovyo tu ndio mana sijapatajaChalinze morogoro kibaha kote kutajengeka kwa haraka sana
Aliepitisha budget na kufanya mpango wa kuzijenga ndo kajengaHapana! Give credit where it is due.
Hizi zilikuwa ni miradi za KIKWETE.
Jamaa alikuwa msharp na mchapa kazi kabisa, hivi leo mnamsahau tu hivi? Ati John Pombe for kila kitu kizuri in Tanzania and yet hajahudumu even for a 1000days.
asante mkuu.huyu kijana kavumiliwa sana na watz, hana hata mwezi tangu ajiunge jf,lakini speed ya matusi aliyokuwa anaenda nayo haikuwa na staha mbele ya watu wazima wanaonjiheshimu.ilibidi atokee mtu wa kumpunguza speed.Asante kiongozi ilikuwa kero hasa acha aende akaongee matusi yake huko mashada.
Hiyo ni treni ya mzigo, za abiria zinakaa hivi, on the left.Haahhahhaha treni zenyewe ndo hizi hahahhhahaha wachina wamewapiga
View attachment 491968
So unataka kutuambia hio ya mzigo hahhahahaHiyo ni treni ya mzigo, za abiria zinakaa hivi, on the left.
SGR passenger train
Hebu tazama na hizi treni za mzingo za mataifa mengine kama America, China, Japan na Germany
Kwa kawaida treni za mizigo huwa na sura mbaya namna hiyo.
Kwanza wewe unatakiwa uelewe kitu kimoja dar inabarabara nyigi sana tena sana kuliko nairobi sema sasa Barbara za nai ni pana na zimejengeka vzr lakin kunambia dar hakuna barabara hahhahaha utakimbia mwenyewe na niliwambia miaka 2 ijayo dar kwenyw infrastructures itakua moto wakuotea mbaliOle wenye mnaochukizwa na barabara zetu........tutaendelea kuzipost humu tu hadi kieleweke. Mji gani lisilo na mabarabara sampuli hii inadhani iko great? Cheki..........
Hiyo picha ya Dar?Bongo inakuja na hio hahhahahaha modern electric train itakua hakuna east Africa na ndio itakua na speed kubwa of 160km/ hrView attachment 491991
Ya kwenu dereva mpaka aekewe ngazi za kushuka hahaahhaha yani wachina wamewapiga kisawasawa hahahhahahhaHiyo ni treni ya mzigo, za abiria zinakaa hivi, on the left.
SGR passenger train
Hebu tazama na hizi treni za mzingo za mataifa mengine kama America, China, Japan na Germany
Kwa kawaida treni za mizigo huwa na sura mbaya namna hiyo.