Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo msee ni Moto ya kuotea MBALI.. Akifika Ulaya hatarwjea... Atachukuliwa
kuna wakati alikuwa kwenye hali nzuri sana ya kimpira.

shida ni kwamba aliponzwa na mambo za ujana, akawa anashindana na wasanii wa bongofleva kuchukuliana mademu, hatimaye kiwango chake kikashuka.
 
na wasipokuwa makini, watafungwa na singida united.
kumbuka mpira sio porojo za mashabiki jukwaani au kwenye social media, mpira ni dakika 90 dimbani.

Sidhani kama Singida wanaweza kuhimili mashambulizi ya Gor kwa dakika 90. Leo wamedefend kuruka lakini Ingwe si Kogalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…