hiyo shamba kama sio ya politician basi mmiliki atakuwa ni kati ya wale wakenya matajiri waliopora ardhi za wakenya masikini.
Why are you always so negative thinking no ordinary kenyan can own land... This is our family tea farm in Kericho. got any problem with that?hiyo shamba kama sio ya politician basi mmiliki atakuwa ni kati ya wale wakenya matajiri waliopora ardhi za wakenya masikini.
mashamba kama hayo huku kwetu tanzania humilikiwa na watu wa kipato cha kawaida tu.
bluetooth on ,wi-fi on,alarm on,,,,,[emoji2] [emoji2] [emoji2]Why are you always so negative thinking no ordinary kenyan can own land... This is our family tea farm in Kericho. Is there a problem with that?
View attachment 794786 View attachment 794787
this is what you should be worried about!poleni wakenya
Hasira za mtanzagiza/mkizi furaha kwa mvuvi/Nyang'au.ndiyo......
mse...what?bluetooth on ,wi-fi on,alarm on,,,,,[emoji2] [emoji2] [emoji2]
unapenda mseleleko
[emoji115] [emoji115] [emoji115]mse...what?
opps!! "our family"?.Why are you always so negative thinking no ordinary kenyan can own land... This is our family tea farm in Kericho. got any problem with that?
View attachment 794786 View attachment 794787
natumai mambo ni kuunguza,,,soon watakujaPOST YA KICHOKOZI YA KULIAMSHA DUDE LA HASIRA ZA WAKENYA.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
moja kati ya fahari kubwa kwa mwanaume wa kiafrika ni kumiliki shamba, kiwanja na kuishi katika nyumba yake aliyoijenga na kuigharamia yeye mwenyewe.
sio kuishi katika nyumba ya ku-rent iliyojengwa na mwanaume mwengine halafu ujisifie kuwa wewe ni mwanaume.
leo nilienda kuzungusha uzio katika moja ya plot yangu(wakenya huita shamba) ninayoimiliki kilimota kadhaa nje ya jiji la dar es salaam.
najuwa kwa vyovyote vile wakenya hawatafurahi kwa mimi kupost picha hizi,lazima watatoa povu cos ni lawaida yao kutoa povu pale mtanzania anapo-post kitu/asset ambayo kwao ni adimu kumilikiwa na mkenya wa kipato cha kati.
rejea povu wanalotoa kuhusu gari na Iphone ya ichoboy. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mind you my plot is located in dar es salaam some kilometers away from the capital city.not in ushago or mashinani like many of you use to brag ati ooh tuko na mashamba ushago.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
View attachment 794803View attachment 794804View attachment 794805View attachment 794806View attachment 794807View attachment 794808View attachment 794809
hii kwenu ni sawaππππ sgr imewakaa kweli moyoni hehehehethis is what you should be worried about!
View attachment 794797
hii wet dream ya sgr hewa ya umeme mtatoa wapi???
wow...stunningWhy are you always so negative thinking no ordinary kenyan can own land... This is our family tea farm in Kericho. got any problem with that?
View attachment 794786 View attachment 794787
hahaha Jizee linaguruma na hasira....iyo yako ni kichaka....semi arid kama samburuPOST YA KICHOKOZI YA KULIAMSHA DUDE LA HASIRA ZA WAKENYA.