Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona wamekosa updates wameanza kuonyesha sijui bweni na vijiofisi? Na kama reli inajengwa usiku na mchana mbona hakuna kitu zaidi ya vumbi?
Reli kwa ajiri ya treni ya umeme haijengwi siku mbili iishe.
 
Naona wamekosa updates wameanza kuonyesha sijui bweni na vijiofisi? Na kama reli inajengwa usiku na mchana mbona hakuna kitu zaidi ya vumbi?
Hapo tarajia povu for asking an honest question.
 
It's crystal clear that you don't know a thing or two about club sponsorship in world football. Naona hata Emirates pia waliomba msaada kutka kwa arsenal
 
Ni kampuni ya kitanzania
 
Matajiri wagani kwani wewe ni fala fala tu hebu wataje...
mo dewji ndio amenunua 49% of simbaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

mo dewji ndio tajiri mkubwa east africa mwenye worth of 1.4b usdπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

azam fc inamilikiwa na gwiji na tajiri mkubwa sana tanzania na africa mashariki na kati bakhresa

yanga ilikua imedhaniniwa na tajiri mkubwa sana tanzania manjiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

mtibwa sugar fc inadhaminiwa na kampuni ya mtibwa sugar pamoja na kampuni ya michelinπŸ˜€πŸ˜€

niendelee auπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
HEHEHEHE Lorry linajazwa kwa vijiko na eti Simba ina dhaminiwa na matajiri...this is actually a funny video all should watch.
Hawa watu wanaxhekesha sana...eti simba inadhaminiwa na matajiri wakati ile deal yao na sportpesa ya Ksh 225 million is the highest amount wamewahi pata in terms of sponsorship tangu izunduliwe. Looks like hawa "matajiri" walikuwa wanaipatia milioni moja heheeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…