Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kijana mdogo sana mwenye umri chini ya miaka 23 hehehhe aslayπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
duuh,,,[emoji2] [emoji2] [emoji2] mbona kakauka hivyo.......yaani ni haeleweki ni ke au me ni mkavu sana
wtf huyu mwanaume au mwanamke anasura ngumu kama mjedaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yaani mpaka saivi utambuzi umenishinda ila anatatanisha kwa kweli
 
HUWA NASEMA mara kwa mara majengo nmengi ya kenya ni chakavu hayana mvuto nahaya ubora pia si yakisasa......kulingana na hii hali jionee jinsi vigjorofa vya pembeni vinavyotia huruma yaani hazivutii kabisa.....kwa huo mtindo lazima zianguke na siku pale nairobi likipita tetemeko la ardhi tutegemee makubwa zaidi kuona majengo yote yakidondoka

kenya haina wajenzi kabisa hizo kazi za ujenzi tupeni Tanzania na mje kujifunza kupitia NHC TANZANIA
 
she is their favorite singer. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Favorite??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] there's no even favor on that dude [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
RIP innocent souls. Hayo majengo ya kikenya yana tatizo maana hizi kesi kila mwaka zinajirudia. Ukiyaangalia tu hayo maghorofa yanaonekana kuna shida....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…