Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
ushamba uwache usije ukatupigia picha ya mswaki unayoitumia na kupost humuππhehehe na wewe pia lexus inakuumiza kichwaππ
πππππ naona hasira zimekubamba sasawacha tabia ya kidem nawewe...umbeya staki...pambana na povu lakoππππ
hahahahah lexus inakutoa imani heheπππ si na wewe kua fisadi ununue maana munanuka ufisadiushamba uwache usije ukatupigia picha mswaki unayoitumia na kupost humuππ
hahahah Lupita is global bana...diamond pengine tu pale Tandale...kwanza black panther imemjenga sana Lupita...kisha tuje kwa Wanyama...sasa diamond ndo nani hahahahaAlafu Unaskia Ngombe Ingine Unataka kulinganisha Lupita na Diamond.. Nkt! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We shienzy.. Magufuli alikudanganya wazungu wagani hao wanapenda maua kenya.. Leo nataka Nikushike pabaya.. LETA evidence acha Udaku hapaGDP imejaa mapishi yaliounguaπππ
wanakuja investors wanashika uchumi wanapeleka pesa kwao munabaki na unemployment over 40% na huku below povert line ikiwatafuta to almost 46%, ukija kwenye slums watu wanaishi kama nguruwe,
alaf mashamba yote wameshika wazungu wanapanda maua munabaki kila siku watu wa kusaidiwa chakula
huku kenyatta kajimilikisha ardhi robo ya kenya
View attachment 792754
safaricom hio haikumuona lupitaπππAlafu Unaskia Ngombe Ingine Unataka kulinganisha Lupita na Diamond.. Nkt! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yenyu Iko wapi? Na usilete Renders Hapa...si huyo mchina aliwapiga kwenye SGR pia ni ujamaa kawatandika kisawasawa kuwaletea treni ya 50s mlichoambulia ni stations heheh 4b usd nai to msaππππππ watu wanakwenda mbele nyie ndio kwanza munarudi 40yrs back
investors wanawatia umaskini tuππππAlafu Unaskia Ngombe Ingine Unataka kulinganisha Lupita na Diamond.. Nkt! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ako za... MBAGALAAAAAAAAAAAAA...hahahah Lupita is global bana...diamond pengine tu pale Tandale...kwanza black panther imemjenga sana Lupita...kisha tuje kwa Wanyama...sasa diamond ndo nani hahahaha
Hii ndio takataka gani ya Bongo??.. Tunaongelea OSCARS Not Village Champions
Ako za... MBAGALAAAAAAAAAAAAA...
Wazungu nap wako:Look a gorilla singing[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 792758
πππππππYenyu Iko wapi? Na usilete Renders Hapa...
We Kwani Tz Hamna channel huko? Watch Azam acha Kufuatilia petty news za kenya nikama huko kwenyu Ni Binguni hakuna shida... Ni vile wakenya hatuna time ya kufwatilia hizi ujinga bure Ungetoroka huku
ππππAko za... MBAGALAAAAAAAAAAAAA...
Wazungu nap wako:Look a gorilla singing[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 792758
Leta Reli si Mchanga hapa... Ama huko Tz Reli ni Lorry imebeba mchanga??πππππππ
uahhah kisa naleta yale msioyapendaπππWe Kwani Tz Hamna channel huko? Watch Azam acha Kufuatilia petty news za kenya nikama huko kwenyu Ni Binguni hakuna shida... Ni vile wakenya hatuna time ya kufwatilia hizi ujinga bure Ungetoroka huku
they all watch kenyan news and channels...hata mimi nilikuwa nashangaa sana nilipo join Jamiiforums nikapata humu wanatazama citizen, NTV etc..who in kenya knows even one channel in tz????lol!We Kwani Tz Hamna channel huko? Watch Azam acha Kufuatilia petty news za kenya nikama huko kwenyu Ni Binguni hakuna shida... Ni vile wakenya hatuna time ya kufwatilia hizi ujinga bure Ungetoroka huku
heheheh kwa vile yenu mlijengewa kwa siku 10 na wachina full loanππππ yani hata pesa ya kulipia mchanga mlikopa hehehLeta Reli si Mchanga hapa... Ama huko Tz Reli ni Lorry imebeba mchanga??