Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

is too bad aisee
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kweli wakenya mumefkia level ya failed state
 
nchi inakufa kwa madeni na watu pia wanakufa kwa madeni 😱😱😱😱
100ksh inatoa roho ya mkenya ohh my GOD

jaribu tu kugusa kokote alaf utajionea mwenyewe maana hii thread imewafungua sana machoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unasemaje kutoka leo nianze kuita Dar es salaam dara salimaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Ama unasemaje kaka?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kweli wakenya mumefkia level ya failed state
Usiingie na gari binafsi mjini.

Serikali yenye majibu mepesi ktk maswali magumu,wapi 6lanes,wapi bypass??wapi outering.
 
Usiingie na gari binafsi mjini.

Serikali yenye majibu mepesi ktk maswali magumu,wapi 6lanes,wapi bypass??wapi outering.
zilijengwa bila mawazo sahihi yani walichofanya ni kupanua barabara zile zile instead of kubuni barabara mpya ndani ya jiji hehehπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

ukiwaambia ukweli tu wanakua wakali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…